Tuachiwe uhuru wa kujiamulia mambo yetu sisi wenyewe bila kigezo cha msharti kwasababu ya madeni, pia kama ikishindikana, tufanye mambo yetu wenyewe na kulipa madeni kwa masharti yetu sisi wenyewe huku tukijiletea maendeleo, hilo tutaweza?Tufanye nini? Inawezekana tumefika mahali ambapo hatuwezi kuepuka tena?
The only solution is removing ruling party from the power
Tufanye nini? Inawezekana tumefika mahali ambapo hatuwezi kuepuka tena?
mambo yafuatayo yazingatiwe:-
1. Watanzania tufanye kazi tena kwa bidii tuzalishe in excess tuache manunguniko.
2.wawekezaji tunaowahitaji ni wa kufungua viwanda na kufufua vilivyopo hao wakipewa tax relief iko sawa.
3. Tukusanye kodi kwa wawekezaji hasa wanaouchukua rasilimali zetu, VAT exc na tax relief iondolewe kwa sababu hizo ni rasilimali tulzopewa na Mungu na ni kwa ajili ya watanzania hasa madini.
4. Energy is prime mover for development of any country, tunahitaji reliable power.
wanajf yapo mengi tuanze na hayo machache tutaona matunda ya uchumi
Kwa kweli nimependa sana maelezo ya watu wengi humu, yanaonesha siyo tu tunajali kinachotokea nchini bali pia tunakielewa tena labda kwa kina kikubwa sana. Lakini vile vile naweza kuona kabisa kuwa kwa kufuatilia tu baadhi ya mawazo humu sera mpya ya kiuchumi inaweza kuandikwa.