Wala usione aibu. Ulizoma japo magazeti na kuna kitu kipya ulijifunza. tuhamasishane hivi hivi, mwaka kesho utakuja na list yako, inshallah!Hii thread inanisababisha nione aibu, mwaka ukiisha ndo nakumbuka sijasoma kitabu nikakimaliza. Duh, I need to do something aiseee.
Mwenye pdf ya malcom x plz naomba
Be blessed Madame!!The Autobiography of Malcolm X (PDF): http://al-rasid.com/shared_uploads/The.Autobiography.of.MalcolmX.pdf
ukikikosa hapo nenda http://kickass.to/autobiography-of-malcolm-x-pdf-pld991-t7115910.html and download it with Torrent
Bravo, you met your target! Nina 2,3,5 na 11. Game of thrones nina Series. Mi si mpenzi mkubwa wa non fiction kwa kweli... labda vitabu vya watoto. hahahaha
Mi nilijipangia 26 books (one every two weeks) nikajikuta na hiyo list full of pengo. Mwaka huu no target, just read read read. Rutashubanyuma I can't rely on reviews. They are so biased! bora hata nisome selected chapters in a book nipate picha mwenyewe kuliko kusoma review. But they are good in helping to select the next books to read.