What Did You Saw First?


MODS muwe mnapitia lugha kwanza. Mtu anaandika 'what did you SAW first!!!' This is poor English. Aliyeleta uzi huu inabidi aende shule kwanza akasome lugha ya Kiingereza.
 
Unatuachaje. ..!?
Its a question of intellectual ability and disability, kupima uwezo wa watu wanaochangia wa kupambanua mambo muhimu na yasiyo muhimu na uwezo wa kufikiri kiundani na kuyatafutia ufumbuzi mambo muhimu kwanza yaliyo mbele yako. Sasa inaonesha wengi wa wachangiaji ni kundi la kati, uwezo wao ni sleeping, ndio maana tuna tatizo la makampuni ya kimataifa kuajiri wakenya na watu wengine wa nje kwani wengi wao intellectual ability iko juu kupita wengi wa watz, huo ndio ukweli, hili swali limeprove.
 

It was a question......
 
Kwahiyo nilikuwa sawa kuwa nimeona ID yako kwanza? Ashura9 when we talk about intellectual ability n disability there is a vast explanation about this na hii pekee haitoshi kutoa hukumu uliyotoa kuhusu watz vs wakenya kwenye ishu ya ajira
Nimeishi Kenya kuna mapungufu mengi kule tena mengi tu kwahiyo sijaiona hiyo intellectualism yao ambayo ni super kuliko yetu kiasi cha kuwa mfano wa kuidiss Tanzania (unless otherwise )
The question you asked was too perceptional and there is no any concrete or formal formula to defend or guarantee any answer to be correct or wrong...anyone regardless to his education race or understanding can give any answer according to the way he/she is perceiving the impression of what she/he sees first....!!!
 
apple 🙂 [HASHTAG]#Ashura9[/HASHTAG]
 
Lakini, mshana jr swali limeuliza "what did you saw first IN THIS PHOTO"? ID ya Ashura haiko kwenye photo. Nilipita tu mitaa hii samahani!
 
Lakini, mshana jr swali limeuliza "what did you saw first IN THIS PHOTO"? ID ya Ashura haiko kwenye photo. Nilipita tu mitaa hii samahani!
Ila mimi ndio nilichokiona kwanza bbc
 
Our modern scholars at their best! cant distinguish between the past, present and the future tensies.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…