What do Women have to Offer in Bed?

If you really don't know, you are either gay or a virgin.
 

A p.e.n.i.s
 
So Neema u feel proudly to be naked? Au unamaanisha nn? Mambo ya mahusiano sio chumban bali general habits also inahusika
 
Sombdy nyumba kubwa and others like u! You are so down and shallow in case of moral values and also obvious you uses feeling rather than awareness in your daily operations.
 

Mimi naona wazungu wamewaiga waafrika kuvaa nusu uchi, coz kumbukumbu za kihistoria zinaonesha kwamba wakoloni walipofika nchi hizi za kwetu, waliwakukuta machifu wakiwa nusu uchi, na raia wakiwa uchi kabisa nao wakaiga wakidhani tulipenda hali hiyo kumbe ilikuwa ni lack of technical know how. Hata hata hivyo adam 'n eve pia walikuwa nusu uchi covering only the confidential parts using bush leaves.
 

Kwahiyo unaona nisahihi kuvaa nusu uchi? ila hili nijambo la binafsi zaidi kama kutembea uchi kwako ni sawa endelea hivyo hivyo. kwani hata vitabu vitakatifu yanasema kama unatenda dhambi endelea kutenda dhambi tu na kama unatenda mema pia endelea hivyo hivyo kwahiyo yote mawili yapo mikononi mwako; uzima wa milele au kufa milele.
vikwazo lazima vitokee ila ole woa wanavyo visababisha vivyo vikwazo niafadhali wangefungiwa jiwe la chumvi na kitoswa baharini. tafakari
 
wanaume bana sijui kipi huwa kinawafanya kujiona ni bora zaidi ya wanawake,wakivaa pensi na kutembea barabarani kwao ni sawa, akivaa hivyo hivyo mwanamke kapoteza maadili, mmh
 
Kaunga sikuwa nataka kucoment kwenye huu uzi but hoja yako hii imenigusa. Hivi jamani mwanamke hana uhuru dah! yaani akivaa shida asipovaa shida. akipendeza shida asipopendeza shida lol.

kama hawatak watafute ulimwengu wao watuache jamani mbona wao wanavaa kata k huwa hatusemi?

binafsi tight ndo mwake na mwa moyo anasema kabisa pigilia hii na top ya nguvu kisha nata vibration utanikomajee? japo bbc lakni nimo atii. wawaache wanawake wapendeze kwa raha zao.
 
Last edited by a moderator:
In black, it is 'revolve' and not evolve. In red, it should have been 'for' and not of. Thank you.
Nyani Ngabu naomba unifundishe kiingereza, kila siku nitumie somo moja na qiuz hasa grammer na tenses. namaanisha.
 
Last edited by a moderator:
vi babies vya siku hizi vinavaa vile sababu vingi vyao havili vizuri sababu havina nyama....Vikivaa vile angalau unapata kuona nyama nyama hasa supu za mapaja.


Si unajua tena mnyama yoyote kama mapaja hayavutii anakuwa hana market :bounce:
 
kama 'unamaliza' kwa kuangalia tu basi una matatizo....mnh wenzako wanatouch,wananyonyana,wanagusanisha makojoleo ndio wanamaliza,na hayo yote yanahitaji privacy ya chumba.........:redface::redface:
mmmhh, we dada tumia tasifida kidogo du! Kavukavu namna hiyo....!!!
 



my love Kaunga, mie navaa ili uni undress ww, hasa tunapoenda kuoga wote.

achana na huyu mtoa mada, hajuwi kuwa sex hata mkiwa ndani ya nguo inafanywa tu!

umevaa baibui na unaenda na jamaa kichochoroni mnafanyana hapo hapo. to hell with mtoa mada.

alafu naona Nyani Ngabu is reading maneno yako word to word. is he in love with u?
 
Last edited by a moderator:


Wewe nawe umeniboa na comment yako. Sorry niko kama nimepoteza ma temper (lost ma temper). Kama sio huu utandawazi, namaanisha enzi za mama zako na baba zako ungekuja na comment kama hii. Sikutaka ku-comment hii thread ilikua nisome tu watu walichoandika lakini nimeona niandike tu chochote kuhusu ulichoandika. Nothing personal hapa. I am just trying to get ma feeling heard.
Kama nimekukwaza nisamehe
 
how does one ask that??what do women have to offer in bed??have you ever been with a woman??waulize wenzio watakwambia what women have to offer in bed!otherwize try one of those scantily dressed babes and see for yourself!wink
 
Ndugu mama yangu amevaa mini ambayo mimi sijawahi kuvaa. Ndio maana nimesema inategemea umezaliwa na kukulia wapi.

Miaka ya 60s kulikuwa na utandawazi huu tulonao..? Umeshaona picha za vijana wa miaka hiyo?

Kama hampendi mini kuna other options... go for them.

Tena wakati huo wasichana walikuwa wanapiga picha black and white studio.. mama yangu alikuwa anapiga mini za nguvu. Na ndio maana pamoja na kuwa tulikuwa na mama mkali sana.. hakuwa na mbunge when it comes to mavazi

Mini zilivaliwa enzi hizo hata kabla ya uhuru na sisi tumevaa na zitaendelea kuvaliwa... Hata kama ni ngumu kwa wengine kumesa.

 
Erotica dear, nimemissije kukuundress, halafu ninahamu ya kukipapasa kitumbo na kuviimbia vitwins vyetu; they must have missed my voice!

Nyani Ngabu ananipiga twisheni ili anivushe kumsaidia box! LOL
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…