Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Trying to pick up tips, I'm not too sure myself!
Also, it would be helpful to post the foods you make sure you eat to get a wide selection of the essentials.
Hili ni jambo zuri, mi kwa kawaida nikijihisi ninapungukiwa madini na vitamini mhimu, natumia unga unga wa mlonge kijiko 1 cha chakula mara 2 kwa siku, huwa nanyunyiza unga unga huo katika chakula wakati kipo tayari kwenye sahani nakula. Ningependa kushauri mtu yeyote asiyependa kutumia dawa zenye kemikali kutumia unga unga huu kwani siyo tu huongeza madini na vitamini, bali pia huongeza kwa nguvu kinga ya mwili.
Trying to pick up tips, I'm not too sure myself!
Also, it would be helpful to post the foods you make sure you eat to get a wide selection of the essentials.
fadhili paulo ...ndio unga gani huo....na unapatikana wapi mkuu??Hili ni jambo zuri, mi kwa kawaida nikijihisi ninapungukiwa madini na vitamini mhimu, natumia unga unga wa mlonge kijiko 1 cha chakula mara 2 kwa siku, huwa nanyunyiza unga unga huo katika chakula wakati kipo tayari kwenye sahani nakula. Ningependa kushauri mtu yeyote asiyependa kutumia dawa zenye kemikali kutumia unga unga huu kwani siyo tu huongeza madini na vitamini, bali pia huongeza kwa nguvu kinga ya mwili.
Mkuu, mke wangu anajua kutengeneza unga unga huu kwa kutumia majani ya mlonge, muda mrefu nilikuwa nikimpuuza, siku moja nilikutana na uzi hapa jf unaozungumzia mlonge, nikafuatilia mjadala huo, lakini kilichonifanya mpaka niamuwe kuula ni mchangiaji mmoja kusema kuwa mlonge husaidia kuongeza za kiume!, nilicheka mbele ya mke wangu, nikamwambia haaa! mpaka nguvu za kiume! nikamwambia weka kwenye sahani yangu ya wali kiutaniutani akaniwekea, tangu siku hiyo sikai bila kuwa nao ndani. Utaona watu tunateseka bure. fuatisha link hii: https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/228105-jamani-mlonge-ni-dawa-na-tiba-kubwa-sana.html . Una uhitaji?fadhili paulo ...ndio unga gani huo....na unapatikana wapi mkuu??
mkuu, mke wangu anajua kutengeneza unga unga huu kwa kutumia majani ya mlonge, muda mrefu nilikuwa nikimpuuza, siku moja nilikutana na uzi hapa jf unaozungumzia mlonge, nikafuatilia mjadala huo, lakini kilichonifanya mpaka niamuwe kuula ni mchangiaji mmoja kusema kuwa mlonge husaidia kuongeza za kiume!, nilicheka mbele ya mke wangu, nikamwambia haaa! Mpaka nguvu za kiume! Nikamwambia weka kwenye sahani yangu ya wali kiutaniutani akaniwekea, tangu siku hiyo sikai bila kuwa nao ndani. Utaona watu tunateseka bure. Fuatisha link hii: https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/228105-jamani-mlonge-ni-dawa-na-tiba-kubwa-sana.html . Una uhitaji?
Ukifuatisha link hii: https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/228105-jamani-mlonge-ni-dawa-na-tiba-kubwa-sana.html Kuna members wameeleza namna unaweza kuupata, bali kama unashindwa kuwafikia ni-PM nitakuelekeza.mkuu mie pia nahitaji, unapatikana vipi? Bora tuachane na hizi supplement za viwandani