Ndani ya dimbwi la umasikini wa kutupwa, Katikati ya shida, magonjwa, sononesho la kutisha. Baada ya kukatishwa tamaa na watu uliowahamini, baada ya jamii kukuambia huwezi, huwezi kutoboa, huna uwezo, hizo ni ndoto, baada ya kuwa betrayed, je bado unafikiri utaendelea kusimama? bado unafikiri utaendelea kupigana na kufanikiwa, ni kitu gani muhimu unatakiwa kuwa nacho.
Baada ya Kujikuta ukiwa umezaliwa katika familia masikini , wazazi wakiwa wamesambaratika, familia inayoshikiliwa na mama ambaye na yeye hajui mtakula nini?mtalala wapi? kibaya je utatusua kimasomo wakati unasoma shule ya kata, hakuna walimu, hakuna reference books and other materials, library, hakuna kila kitu? mahabara unaisikia na kuiona kwenye picha tu, contrary na wenzako wa international schools, ingawa mtafanya mtihani mmoja na watawapongeza eti ni vipanga, top ten students? Pathetic. Je wewe bado unajiweka upande gani kuhusu maisha yako? what do you invisage about your successful future life? je umekata tamaa?
Jinsi ambavyo una-assimilate matatizo na kuyachakachua kwenye medulla yako, inabidi yabakie hukohuko, inabidi kuyazuia yasiweze kuathiri thinking, perception (muono) wako wa uwezo wako wa kukabiliana nayo na kutusua baadae, yasiweze kuzuia fikra pevu kwamba wewe ni jemedari, wewe ni askari, wewe ni tajiri, wewe ni mwenye afya tele ingawa uko bed ridden, wewe utapasua ingawa jamii inakuambia huwezi.
Ni pale utakapokubaliana na hali unayopitia (acceptance), ni pale utakapopingana na hisia mbaya za mimi basi nimekwisha (despair) , ni pale utakapoacha kumsingizia shetani? wachawi eti wamechukua nyota yako, acha kumsingizia jirani yako, ni pale utakapoacha kupeleka blame, shutuma kwa wazazi, walezi, mme wako au mke wako, ni pale utakaposimama mwenyewe na kusema haya ni mapito ndipo litakuwa chimbuko la kufaulu kwako. Siku zote maisha ni kupambana regardless huko kenye hali gani, unakabiliana na changamoto gani? hakuna kinachoshindika haswa ukimtanguliza Mungu
Perception about events and life is key to driving your internal energy, to keeping you morale and stay fighting, a positive perception of winning, a courageous attitude of succeeding even if you are in the midst of suffering, in the midst of pain and agony are what you need to assist you open your door to success .
My bro and sisters picha hii chini nimeikuta sehemu fulani na imenikumbusha maisha yangu nikiwa katika umri huo, it really touched me very much, it portray a true reflection of me. nimejiona mimi mwenyewe lakini uzuri nilikuwa mbishi kama hii picha, nikaona ni vizuri kushare na baadhi ambao labda walipitia katika mapito haya ili waendelee kuhushuhudia utukufu na maajabu ya Mungu; God is great always.
Ni picha inayoongea mengi, ni picha inayokupa hualisia wa maisha, jinsi unavyotakiwa kuyachukulia kwa sasa, kukabiliana na changamoto, inakuhasa ukijipotray kama ulivyo sasa, mwenye shida, disadvantageous ukaingiza kwenye perception na altitude zako utabakia hivyohivyo maisha yako yote. Weka goals (malengo) yako very high, weka standard zako very high, halafu tengeneza strategies kufikia malengo au standard zako, kumbuka utakutana na vikwazo hatari, maumivu mengi ila jua hayo ni mapito tu.ukifuata ushauri huu utakuja kunikumbuka siku moja.