Bosi The Boss nadhani no matter how successful you are, inawezekana kuna areas ukawa weak. Say you are very good in bed and you are confident about it but when it comes to work you perfom miserably so you cant be successful in everything
Mchambuzi kasema "Confidence simply means belief in yourself and belief in your abilities". Sioni ambacho Mchambuzi hajajibu maana alichoandika kiko self explanatory.
yoote uliyoyaandika sijayaona
nimeona 'i am good in bed' lol
ulijuaje?lol
na mimi nilichosema ni kuwa
hii tafsiri yake ni 'too general'
wakati in truth
kuna maeneo na maeneo ambayo mtu anakuwa na confidence
but hii tafsiri yake ni kama anasema
'ukiona mtu ambae anamini in himself na his abilities kwenye anachokifanya
mfano Kobe Bryant ...basi mtu huyo ni 'a confident person'
kumbe nje ya basketball unaweza kukuta ni 'the opposite'...
axiomatic????