What does it Contain "Government Circular Na. CAC. 45/257/01/D/140 issued 30th November 2010"

What does it Contain "Government Circular Na. CAC. 45/257/01/D/140 issued 30th November 2010"

Mpangamji

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2010
Posts
540
Reaction score
140
Kazi zinazotangazwa na Utumishi zimekuwa zikiambatana na sentesi hii, lakini sijui watu kama wanafahamu hiyo circular inaelezea nini. mimi binafsi sifahamu kuna maelezo gani kwenye hiyo circular. kama kuna mtu anacopy tafadhari naomba aiweke hapa jamvini

"Applicants for entry levels currently employed in the Public Service should not apply, they have to adhere to Government Circular Na. CAC. 45/257/01/D/140 issued 30th November 2010."
 
nashangaa government act, haipatikani popote, google eeee waaap, ningeshatupia hapa
 
Kwanza, thats a government notice, so its a notice not an act. Pili, hiyo sheria inakataza watu walio ajiriwa serikali kuamie kwenye kitengo kingine ndani ya serikali. Na u can apply for that job kama ushafanya kazi kwa muda wa zaidi ya mwaka moja (not sure on the exact duration, so dont take my word for this) and upate consent ya bosi wako and hiyo kazi unaapply ni iwe bila wewe hakuna mwingine anaweza kuifanya.
 
Waraka unasema kuwa watumishi walioajiriwa serikalini hawatakiwi kuomba kazi hiyo. Pill hakuna mwanasheria Wa masuala ya Utumishi,maafisa utumishi wengi hawajui vitu kama hivi.
 
Kwa hio ndio kusema kama uliomba kazi usioipenda ndio imekula kwako?
 
Back
Top Bottom