Kwanza, thats a government notice, so its a notice not an act. Pili, hiyo sheria inakataza watu walio ajiriwa serikali kuamie kwenye kitengo kingine ndani ya serikali. Na u can apply for that job kama ushafanya kazi kwa muda wa zaidi ya mwaka moja (not sure on the exact duration, so dont take my word for this) and upate consent ya bosi wako and hiyo kazi unaapply ni iwe bila wewe hakuna mwingine anaweza kuifanya.