What Does It Mean "The Professional"

Silicon Valley

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2012
Posts
1,092
Reaction score
1,118
Hi, Members kindly assist me to know the exactly professional of my friend as he has got the following Qualifications;

1. Diploma in Electronic Engineering.
2. Bachelar of Commerce in Finance(B.com,fin)
3. Master of Business Administration (MBA)
4. Post Graduate Diploma in Entrepreneurship and Enterprise Development (PGDEED)
5. He is doing Business more than 10 yrs.

So what is his profession as per that qualifications ? ? ?
 
Hakuna profession hapo,zote ni academic qualifications!Tofautisha kati ya "academic qualifications na professions".
 
Professional = mweledi kwa kiswahili
Ili uwe mweledi unapaswa uwe na vitu viwili:
1.Qualifications - unasomea fani na kupata vyeti kama alivyopata rafiki yako
2. Proficiency = Umahiri -hii hupatikana kwa kutumia hizo qualifications katika fani.
Sasa rafiki yako hawezi kuwa "professional" bila kufanyia kazi.Anaweza kuwa "an engineer or an accountant by training" kwa vile kasomea tu lakini hawezi akadai yeye ni "professional" katika nyanja alizosomea.

Watanzania wanachanganya sana " profession" =nomino na "professional" kivumishi.Utavuma vipi wakati hujaonyesha unachoweza kufanya?
 

AU UNA MAANA YA UHODARI / UTALAAM WAKE UTAKUWA WAPI HASA ? ? Tokana na hiyo elimu yake ? ?
 
DAH, JAMAA KAPOTEZA MUDA MWINGI SANA SHULE HUYU!
MAKARATASI YOTE HAYO YA KAZI GANI?
MWAMBIE AFANYIE KAZI HAYO MAKARATASI ILI AWE PROFESSIONAL. AU KAMA VP AMALIZIE TU Phd AKAWE TUTOR...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…