What does kisumu port construction means to Mwanza, Bukoba and Port Bell?

thats good, as other Ports around lake Victoria lake especially, MWANZA will benefit a lot if,Kisumu is in good shape.
 
Unajua nimeskiza kauli zako nimecheka sana ww unazungumza juu ya ujenzi wakat mwanza tayari inapeleka makontena to port bell uganda kutokea dar au ww ulikua huna taarifaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡



Na kwa taarifa yako tuna meli mbili zinabeba makontena pamoja ma mabehewa na zinapishana daily

 
Mwanza south port πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Do you call this a port?
Na ati hii ndio second City in Tz[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Huyu anajua kweli Kenya ama anaskia tu.
Imagine the total amount of ports in Kenya that will be dominating Eastern and Central Africa.
*Lamu- Ethiopia & Sudan
*Kisumu- Uganda & Tz
*Mombasa- Kenya, Central and Eastern Africa.
-Alafu Wanataka kujilinganisha na Kenya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naona unajipa matumaini kwenye hakuna eti kisumu ihudumie tanzania fala kweli wwπŸ˜†πŸ˜†

Huyo ethiopia mwenyewe msahau yupo dhebout kashaekeza billions of money na hio lamu ni moja ya big white elephant
 
hahhaaaaaaaa..>watu waache mchezo.Is that a port or a landing beach.Now I see what the problem is with Danganyika
Nioneshe ww port of kisumu hapaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…