Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
- Thread starter
-
- #21
.........................an excellent proof on our addiction to mediocrity.
.Yaah! From our mind and habit
Definately ! and it shouldn't be voluntary, that doesn't seem to be working, military style!! If only we could borrow Kagame for a year or two... What Im trying to say is we need a revolution as in the real thing
Umejuaje umemuwahi he was about to say Slaa anapokea tu mshahara wala halioni hilihaya yote ni makosa ya chadema .... namnukuu waberoya.
Na hii hapa chini maeneo ya Msasani
Hapa ni njia ya kituo cha Polisi cha Msimbazi kama kinavyoonekana kwa mpiga picha. Nimepata picha hii toka kwa Evarist Chahali FB;
Ninajiuliza:
a. Uchafu huu ulianza kujirundika lini hapo? Ni wazi haikutokea siku moja ghafla bin vuup!
b. Ulipoanza kujirundika wahusika walikuwa wanafikiria nini? ni maua yanaota pembeni au mbolea?
c. Je kuna uwezekano wa wataalamu wa biolojia na viumbe hai kufanya utafiti kuona kama kuna jamii mpya ya viumbe hai imeanza kuishi humo na hivyo kutangaza eneo hilo kuwa ni hifadhi ya viumbe hai na kuwa ni "protected area"!?
d.Watu wanaoishi jirani na eneo hilo wanasubiri mwekezaji kutoka nchi gani kuja kuwasaidia kuwaonesha kuwa huo ni uchafu? au wanaamini "somebody's trash is someone's treasure"?
e. Inawezekana sisi ni taifa la watu waliozoea uchafu kiasi kwamba uwepo wake hautushtui tena kwani tumetengeneza some sort of immunity towards uchafu? Yaani hatuoni tatizo kupita na suti zetu, kupaki magari yetu na hata watoto kucheza mbele ya uchafu?
d. Do you see any similarity ya wananchi wa Tanzania na viongozi wabovu?
Umejuaje umemuwahi he was about to say Slaa anapokea tu mshahara wala halioni hili
Tunasubiri mgeni aje tutakumbuka kusafisha ila kwa sasa ni pouwa tu mradi mwisho wa mwezi wanapata mshahara!
Inaonekana Mwanakijiji hujashuka Bongo kitambo. Sisi tunaoishi huku uswahilini, hiyo siyo stori. People fight to survive.
Mwaka juzi nilikuwa bado natupa takataka nilizoshika mkononi kwenye dustbin. Nilikuwa naitafuta kwa udi na uvumba. I am no longer doing that now. Natupa popote huku uswahilini.
Ha ha ha,
nilimshtukia waberoya muda mrefu. atakuja na stori kibao... ohh miaka yote hii Slaa alikuwa wapi asiondoe huo uchafu. Mrema je, Mbowe je... kisha atamalizia na signature line yake - wapinzani wote hovyo kabisa, bora sisiemu iendelee kupeta.
ukimbana ataanza kujisifia kuwa alikuwa waziri wa daruso na amedizaini majengo kibao tu duniani. Mara ohhh yeye ni injinia bora kabisa wa afrika. Ukimuuliza kutoa uthibitisho atakuuliza kama wewe ni mchaga au mtu wa kaskazini.
Kwa hiyo hii hali umeridhika nayoInaonekana Mwanakijiji hujashuka Bongo kitambo. Sisi tunaoishi huku uswahilini, hiyo siyo stori. People fight to survive.
Mwaka juzi nilikuwa bado natupa takataka nilizoshika mkononi kwenye dustbin. Nilikuwa naitafuta kwa udi na uvumba. I am no longer doing that now. Natupa popote huku uswahilini.
.Yaah! From our mind and habit
Definately ! and it shouldn't be voluntary, that doesn't seem to be working, military style!! If only we could borrow Kagame for a year or two... What Im trying to say is we need a revolution as in the real thing
Yes, but we have soldiers here! can we use them?
Je tuanzishe kampeni ya usafi bila kuhusisha wafadhili?
Mkuu wa kituo cha polisi anajisikiaje kwa uchafu huu?
Tusitafute wa kumlaumu jamani!! makosa ni yetu wenyewe tunaoishi katika maeneo haya.
Its about time we wake up and clean after ourselves.