Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
- Thread starter
-
- #41
Waone SUMTRA NA POLICE walianza kukomalia reckless daladala bila kujua ya kwamba ni za watawala. Akatokea mjinga mmoja anaitwa Lukuvi Rais waw DAR akawapiga stop. Initialy wakambana akayield but only for a week, lakini Baadae akaenda kaa na kamati ya siasa wakaambiana huu ni mwaka wa uchaguzi so kill the Majembe Contract for a while mpaka tupate kura and you see Majembe wakingia mtini na fujo za vipanya na bajaji ziko pale pale .
Tuko mbioni kumpata msaada kutoka kwa wahisani wa kutusafishia jiji letu.Lol
Mzee gone are the good old golden days ambapo wananchi kwa taarifa kutoka kwa Mjumbe wa Nyumba Kumi na bila mikwala yoyote tulikuwa tukitoka na fagio za chelewa tukiimba nyimbo za "AAAH! TANU YAJENGA NCHI" na kufanya usafi mitaani kwetu!Je tuanzishe kampeni ya usafi bila kuhusisha wafadhili?
mfumwa inawezekana huo uchafu hautoi harufu au wenyewe wameuzoea kiasi kwamba hawasikii harafu?
Na bila kuhusisha Mayor na serikali ya CCM?
Kwa hiyo hii hali umeridhika nayo
Tatizo si uongozi ingawa nao una play part kubwa tu tuanze na sisi wenyewe mtu una kula ndizi maganda unatupa barabarani hapo utasema ni uongozi fikiria watu mia wakifanya hivyo tayari unakuwa mlundikano wa taka chukulia picha hii familia za polisi pale msimbazi nyingi hutupa uchafu wao tokea madirishani kwa hiyo tunapotupia lawama sheria zetu na wanaotakiwa kuzisimamia tujiulize je sisi tunawajibika vipi
Kumbe jamaa unamjua ukimbana zaidi anasema mimi ni lecturer hapo chuoni au mimi nachukua kozi hiyo huku marekani kazi zote ni zake sijui huwa anazifanya vipi kwa wakati mmoja ana tabia ya kujiboss sana