What does this picture say about Us the People?

Nimependa swali la d, mara nyingi watu sisi wa kibongo tunasubiri serikali ije itufanyie for everything, very wonderfull.
 
M M,
Picha hizo zinatuonyesha kuwa hatuna Serekali za Mitaa na Serekali kuu iko katika Likizo ya Muda mrefu.
 
Nimependa swali la d, mara nyingi watu sisi wa kibongo tunasubiri serikali ije itufanyie for everything, very wonderfull.
R,
Usiitetee Serekali inayovudika Uzembe. Matatizo hayo ni WAJIBU wa serekali za mitaa na serekali kuu. Mwananchi ana kiwango na wajibu wake asisukumiwe kila kitu wakati NYENZO zimo mikononi mwa Serekali.
 
Tukikerwa tunachangia kurekebisha sio kulumbana. Tukionyesha mfano wengine wanafuata.
 
inasema nini kuhusu sisi wananchi..?

M M,
Hizi picha zinaonyesha mitaa, nje ya nyumba tunazokaa/tunazoishi Wananchi, nina imani 90% ya watanzania ukiingia nyumbani kwao uatakuta nikusafi hata kama nyumba hiyo ni ya udongo na nyasi lakini wenyewe wako makini na swala la mtu ni Afya.
Toka hapo kulikuwa na kanuni ya kila nyumba kuwa na Pipa la takataka na serekali za miji/mitaa zikipitish Maari kuondoa taka hizo. serekali za mitaa zinatakiwa kushuhulikia pia mitaro ya maji machafu.
Wananchi tulipe kodi fulani kufidia huduma hizo.
Maeneo ya kuchimba mashimo pembezoni mwa nyumba zetu kwa kufukia taka hayawezi kutosheleza. Hivyo taka na uchafu wote ukishatolewa ndani ya nyumba ni Wajibu wa Serekali za mitaa kushughulikia wapi ziende na vipi zitapelekwa.
Picha inasema Wananchi 2 Serekali za mitaa 0.
 
MKJJ nadhani swala hapa ni pande zote wananchi na sserikali, kuna vitu ambavyo tunaweza kufanya na kuna vitu ambavyo serikali inatakiwa ifanye. Hii haijalishi uko wapi, kama una tabia mbaya itaonekana tu, hizi chini ni sehemu mbali mbali, Africa, Asia, na Haiti, ambako tunaona tabia ya baadhi ya sisi wanadamu kutokubadilika,

Cha ajabu ni kuwa sehemu hizi zingine ukiondoa Haiti zinafahamika kabisa ni sehemu za maskini wa kutupwa, ila sisi uchafu uko hata kwa watu ambao wana nyadhifa serikalini, private sector, yaani sisi usafi ni ndani tu, ukitoka barazani haukuhusu.

Mwenge, sinza, manzese, buguruni kote huko wamejaa wasomiwa kuanzia darasa la saba mpaka maprofesa na kote huko kuchafu!!

I believe tukianza wananchi, serikali italazimika, let say tuna garbage bin kubwa mwisho wa mtaa, ni wajibu wetu kuita serikali ije itoe katupe dampo, maana mtaa tutakuwa tumesafisha wenyewe.



Kibera Kenya


India Himalaya,



Manila ufilipino,


Soweto, S.A



Haiti,
 
Nimekubaliana na wewe kwa sehemu nyingine kasoro hizo nilizoweka nyekundu!!
1. Watu wenye ngozi nyeusi HAWANA tofauti na watu wa rangi nyingine yeyote. I believe ukimchukua mzungu na mwaafrika ukawakuza katika similar environment...wote watakuwa na uwezo sawa!! Kinachomfanya mwaafrika aonekane duni...ni mazingira! Kama wewe umekuwa katika mazingira machafu, basi HUTAWEZA kuona tofauti kati ya usafi na uchafu.
Nadhani ukisoma historia ya Ulaya, utakutana na janga lililojulikana kwa jina la 'black death'. Hili lilisababishwa na UCHAFU. Hivyo ni muhimu kukumbuka...wenzetu wana historia ya kuishi katika communities kwa muda mrefu kuliko sisi. Wao wana experience ya miaka kama 1000. Kwa hiyo tunapoangalia muenendo wa maendeleo yetu, tufanye hivyo bila kujishusha hadhi kwa kujiona kama 2nd/3rd class citizens. Its just that we are 500 years behind the developed world.
Nadhani mwaka 1930, Stalin alitoa speech nzuri sana. Alisema..."We are 50 to 100 years behind the West. We must make good this gap in 10 years. We either do it, or they will crush us". [hii sio direct word to word quotation]. But as you may gather...at the turn of the 20th century, Russia was so far behind the 'West', kitu ambacho kilimtisha Stalin. It's time we realise that and take action.

2. I believe we have a formal contract with the government. I have agreed to them to rule me, in return, they have to perform certain services to me. These services include cleaning the environment surrounding my immediate household...eg: barabara! Ndo maana zikaitwa public roads. It is NOT my job to clean them!!

So what can we do?
Kuna mteremko wa jinsi ya kupeleka malalamiko yako:
1. Mwenyekiti wa mtaa
2. Katibu Kata
3. Diwani
4. Mbunge
5. Mkuu wa Wilaya
nk
Sasa ni wewe mwenyewe u-take action na kupeleka malalamishi yako. Mnaweza kuandika a petition kama jamii husika na kumpelekea mmoja wa hao.
 
I believe tukianza wananchi, serikali italazimika, let say tuna garbage bin kubwa mwisho wa mtaa, ni wajibu wetu kuita serikali ije itoe katupe dampo, maana mtaa tutakuwa tumesafisha wenyewe.

Garbage bin kesho yake utalikuta halipo! Labda liwepo shimo la taka mahali. Lakini hata hilo litakuwa kivutio cha scavengers. Hiyo ndiyo hali halisi.
 
Mtoto!

Nakushukuru kwa mchanganuo wako mzuri. But at the end of the day itabidi wote tuungane na Fatmas ! We can talk mpaka uchaguzi the only way out hata kama naonekana kinganganizi we have to DIY do it yourself. Mitizamo ya kuitegemea serikali iwe ya mitaa au Kuu hatupeleki kokote kwani imeshindwa almost kila kitu kwa hiyo hili la usafi wa mazingira na buboresha mitaro ya maji angalau hata ya mvua linawezekana tukiamua kwa dhati!! Sorry for late reponse maisha yako taiti and as you all know vijisenti vya uchaguzi are becoming loose kwa hiyo we have to strike the balance....
 

hamna shida mh. Lakini the point remains...kazi ya serikali ni nini? Kama mimi nitashika ufagio na kwenda kufagia barabara kuu, halmashauri za mji zitafanya nini? Ishu kama hizi ndo zinazotusaidia katika kujichunguza na kuchagua viongozi bora! Yani ukichambua mambo taratibu, utakuta ni UJINGA ndo unaotumaliza. Ujinga katika hili swali la usafi unakuja kupitia njia ya uongozi. Je tunaupa uchaguzi wa viongozi wetu wa chini kipaumbele kiasi gani? Je...tunaangalia na kuzungumzia CV zao? Maana at the end of the day, how ndo watendaji. We have a bottom up system. Sasa sisi ni kuimba na rais na mawaziri. Lakini hata siku moja husikii watendaji wa Kata, Halmashauri, nk wanaofanya vitu bora! Kama upo nyumbani, nadhani utakumbuka yale matangazo ya Hiki Elimu. Uzuri wake ni yapo short and to the point! Hata mjinga ataelewa! Tungepata kama hayo yanayoangalia utendaji wa viongozi, ingekuwa bomba sana!
But i dont agree na swala zima la DIY! Nitafanya usafi mpaka mpakani kwangu...lakini kila mtu abebe msalaba wake! Ukitaka kuangalia mji msafi, nenda Moshi. Ukitupa takataka ovyo ni 50,000Tsh. It's a ridiculous sum (maana inachangia rushwa), lakini at least it's a start. Kuna vijana wengi wanahitaji ajira! Nafuu kuwapa 2000Tsh a day wakasimamie usafi wa mtaa! Na sitaki kusikia kuwa hatuwezi ku-afford, maana mbunge anapata 120,000 a day!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…