What Gado says about Covid-19 and Mr Magufuli

Huyo anayesujudu sio mufti wa mkuu wa mkoa?
 
Huyo anayesujudu sio mufti wa mkuu wa mkoa?
1. Kwanza aliliona ni tatizo dogo.
2. Aliamua Kufic ya kichwa Chato.
3. Alianza kusali
4. Tatizo bado lipo
5. Asipoangalia litamtoa ofisini.
 
Du nimejaribu kujizuia nisiwapigie wat kelele lakini wapi,imebidi nicheke tu kwa sauti mpaka nimeonekana kama chizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…