Mkuu naona Kama unanisema Mimi maana ndo nipo katika hali hiyo mkuu [emoji4][emoji4][emoji4].....Anakuumiza sana? Hajibu sms wala kupokea
simu halafu Unampenda kishenzi...acha kujifanya
unaumia sana.
Kuna mtu uliwahi kumfanyia hivyo hivyo... maisha
yanazunguka tu...life circle. Tafuta mwingine....
Hii nimeielewa sanapositive energy inatumika
hakuna kitu hakina mrejesho ikikukosa mhusika namba moja itakuta wanao!
Nakubaliana naweNi hiv.. kama unaoendwa alafu unaleta pozi.... basi ujue na ww yatakukuta.
.....Anakuumiza sana? Hajibu sms wala kupokea
simu halafu Unampenda kishenzi...acha kujifanya
unaumia sana.
Kuna mtu uliwahi kumfanyia hivyo hivyo... maisha
yanazunguka tu...life circle. Tafuta mwingine....
Huu ujumbe mzuri sana... umfikie... ex.
Basi angalia ulipojikwaa sio ulipodondokea....Mkuu naona Kama unanisema Mimi maana ndo nipo katika hali hiyo mkuu [emoji4][emoji4][emoji4]