Sasa mtu ambaye hakosei anakuwa nani???Hakuna mtukufu dunian wewe au kwavile Shisha alisema aliposimama yeye na kamungu kake kamesimama ndo na wewe ukaanza kumuamin.....
Hakuna mtu asiyekosea kumbuka tunajifunza kutokana na makosa.....kama wewe ni binadamu utakubaliana na hilo....pamoja...Sasa mtu ambaye hakosei anakuwa nani???
Ndio hivyo mkuu hakosei so tumembatiza mtukufu sana!Hutaki nenda mahakamaniHakuna mtu asiyekosea kumbuka tunajifunza kutokana na makosa.....kama wewe ni binadamu utakubaliana na hilo....pamoja...
Poa jecha...Ndio hivyo mkuu hakosei so tumembatiza mtukufu sana!Hutaki nenda mahakamani
Ugeni jukwaani ndio unakusumbuaPoa jecha...
Vipi kwani ni la Lumumba hili jukwaa....Sorry nimekosea bye..!!!Ugeni jukwaani ndio unakusumbua
Ndio maana nasema ukizoea utaacha!Vipi kwani ni la Lumumba hili jukwaa....Sorry nimekosea bye..!!!
Sasa sinimekuambia yaishe kumbe ni udaku sasa unachotaka kingine nn...??Ndio maana nasema ukizoea utaacha!
UmevurugwaSasa sinimekuambia yaishe kumbe ni udaku sasa unachotaka kingine nn...??