menny terry
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 509
- 670
Wakuu,
Nimetembelea uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Airport kwakweli ni mzuri mno na unavutia sana sana hususani Terminal 3.
Ujenzi wake umebadilisha kabisa muonekano wa uwanja mzima na kuufanya uwe wa kimataifa haswa. Kwa hilo naipongeza sana serekali yetu.
Lakini najiuliza why idadi ya ndege za kimataifa na wageni ni ndogo sana? Yaani terminal 2 ndo angalau iko busy. Tatizo liko wapi?
Yaani hata ule wa Zanzibar unatupita aisee? Idadi ya wageni kule Zanzibar ni kubwa kuliko Bara kwanini? Hapo wala sijataka kuitaja Jomo Kenyatta International Airport.
Nini kifanyike wadau? Kwa muda niliyo kaa pale kusubiri wageni wangu ndege zilizo shusha wageni ni mbili tu Rwanda Air na Ethiopian Airlines.
Nawasilisha.