Dereva wa ma3... No 9 ongeza mahewa men, no 3, no 26, guruu punguza mahewa men.......Kenyan girl ,Kenyan boy
Napenda sana ile verse Naziz anatoa dedication kwa watu tofauti ,
Konda wa ma3 ........
Hahaha ndioooDereva wa ma3... No 9 ongeza mahewa men, no 3, no 26, guruu punguza mahewa men.......
Ma3 zote sijataja ila tuko pamoja kama my my my best friends
Pia kajipunguza kawa mrembo kweli...nazizi zile dread zake kazifanya kiduku si kuduku,namuelewa sana huyu first lady
shule gani rombo mkuu?Santeeeeeee.... Namna anaimbaga imenikumbusha nikiwa nasoma rombo miaka ya 2005....
wyre mbona yupo mkuu, namkubali sana yule mshkaji ila naona kama yupo underrated hvHahahah...
Nlikua naielewa sana hii kumbe umeshaishare okay mkali mwingine alikua wyre sijui kapotelea wapi
Mkuu sijamsikia jamaa muda sasa ametoa nyimbo mpya karibuni?...au haijaruka mipaka?wyre mbona yupo mkuu, namkubali sana yule mshkaji ila naona kama yupo underrated hv
Hii ni moja ya verse kali sana kwenye music wa KenyaTuendelee ama tusiendelee[emoji445] [emoji442] [emoji443] [emoji443] [emoji443]
Kuna mc's wengine wametutusi
Wanasema rhyme zetu ni za upuuzi
Heri sisi kuliko wao wamejawa na virus
Kumangana kila mahala kama mambuzi
[emoji444] [emoji444] [emoji444] [emoji444] [emoji444] [emoji444] [emoji444] [emoji444] [emoji444] [emoji444] [emoji444]
Hawa hawajapata management nzuri kuna nyimbo zaoDamnn Kenya walikua na beat kali sana Josh and Amos from Kenya hawa jamaa noma pia
walitokea kwenye Tusker project na kuna nyimbo wamefanya na saut sol
Hawa hawajapata management nzuri kuna nyimbo zao
1.Baadae wamemshirikisha Rabbit
2.Promised Land wameshirilishwa na Rabbit
Ehehehehhe... Ushasema mkuu.shule gani rombo mkuu?
dah inawezekana tunajuana nini, wewe umaliza mwaka gani pale?Ehehehehhe... Ushasema mkuu.
E-Sir alikuwa ni mmoja ya wasanii wa kwanza wa Kenya na alikuwa fluent kwenye Kiswahili tofauti na wasanii wengi wa mwanzo,alikuwa mshikaji wa Namelesshakuna mkali kama issa aka E-SIR alifariki akiwa na miaka 21 mwaka 2003 kwa ajali ya gari
Advance 2008dah inawezekana tunajuana nini, wewe umaliza mwaka gani pale?
Ndio aliye wafungua rapa wengi wa kenya kwa kufanya commercial rapE-Sir alikuwa ni mmoja ya wasanii wa kwanza wa Kenya na alikuwa fluent kwenye Kiswahili tofauti na wasanii wengi wa mwanzo,alikuwa mshikaji wa Nameless
Kenya kuna tatizo sana la management ya wasanii na kibaya zaidi wasanii wao wengi wamepiga shule (wengi wana degree) so music hawaupi priorityAmos na Josh wana fans wengi sana
Kweli tatizo litakua ni hiyo managment
basi tutakua tumepishanaAdvance 2008
We lin ulimaliza palebasi tutakua tumepishana