Fatima binti hemedi
JF-Expert Member
- Dec 31, 2017
- 1,665
- 2,328
Wote wawili waliuliwa, Malcom X na Martin Luther King, je wakati umefika weusi waangalie upya tactical approach towards total liberation? Je tuende ng'ambo ya fikra dini kupata uwanja madhubuti wakutatua matatizo yetu kidunia?