March 2018 Progress. Sisi huwa hatujikwezi. Msituone kimia. Kunavitu vikubwa tunafanya zaidi yakushinda humu JF. We are not unemployed like you to bring for you every update of our SGR. Kazi zinaendelea kwa kasi.No traction,no progress,nothin movin!
Funds shortfall is yawning in budget allocation. Turks whether young or old need their bucks! Ottoman gonna only move a finger when Instanbul says so! Meanwhile,till Dar pays,Mehmet and boys on Afro Safari!
Hehee, a lil bit of SGR poetic "justice". Did I here "Afadhali Wachina wangechukua kandarasi" ?
March 2018. Utalia sanaNyuzi hizi zilianza kwa mioto na ushabiki wa kijinga na hivi sasa activities zimefifia baada ya ujenzi kukaza vyuma. Pia nakumbuka kuna Uzi mwingine ulipotea kama huu wa SGR kujadilia bandari hewa ya Bagamoyo miaka kama nane hivi iliyopita sababu kuu ikiwa ukosefu wa hela na mikakati mwafaka katika utekelezaji wa ile project.
bagamoyo, mulisaaa, Geza Ulole vipi vyuma kukaza hivi Baada ya miezi michache ushabiki wa kishenzi kwenye proposed projects?
March 2018 Progress. Sisi huwa hatujikwezi. Msituone kimia. Kunavitu vikubwa tunafanya zaidi yakushinda humu JF. We are not unemployed like you to bring for you every update of our SGR. Kazi zinaendelea kwa kasi.
Did I not see a thread commemorating Tanzanian friendship with China? Who can really want to trust Tanzanians after backstabbing the Chinese? Na sio uwongo watzee wanajulikana kukuchekesha lakini kichini chini wanakusema na kukutakia mabaya.No traction,no progress,nothin movin!
Funds shortfall is yawning in budget allocation. Turks whether young or old need their bucks! Ottoman gonna only move a finger when Instanbul says so! Meanwhile,till Dar pays,Mehmet and boys on Afro Safari!
Hehee, a lil bit of SGR poetic "justice". Did I here "Afadhali Wachina wangechukua kandarasi" ?
Treni ya umeme inakutoa kijasho. Hii niawamu ya Magafuli. Pia hii sio proposed ni under construction.Nyuzi hizi zilianza kwa mioto na ushabiki wa kijinga na hivi sasa activities zimefifia baada ya ujenzi kukaza vyuma. Pia nakumbuka kuna Uzi mwingine ulipotea kama huu wa SGR kujadilia bandari hewa ya Bagamoyo miaka kama nane hivi iliyopita sababu kuu ikiwa ukosefu wa hela na mikakati mwafaka katika utekelezaji wa ile project.
bagamoyo, mulisaaa, Geza Ulole vipi vyuma kukaza hivi Baada ya miezi michache ushabiki wa kishenzi kwenye proposed projects?
Mtu anapofungua thread humu JF nakuisifia China haimanishi ni watanzania wote wanawasifia wachina. Dont be a fool. JF is not a NEWS Media. Mimi naweza kuwa nawapenda Indians. Whats so special about that ??Did I not see a thread commemorating Tanzanian friendship with China? Who can really want to trust Tanzanians after backstabbing the Chinese? Na sio uwongo watzee wanajulikana kukuchekesha lakini kichini chini wanakusema na kukutakia mabaya.
Did I not see a thread commemorating Tanzanian friendship with China? Who can really want to trust Tanzanians after backstabbing the Chinese? Na sio uwongo watzee wanajulikana kukuchekesha lakini kichini chini wanakusema na kukutakia mabaya.
Inakuhuma sana. Chakufanya subscribe hiyo YouTube account ilikila mwezi uweunapata progress ya Electric SGR of minimum speed 160km/hr in East Africa.It better be on track! Next time I come over,Iwanna ride on that damn electric thing to nowhere.
Inakuhuma sana. Chakufanya subscribe hiyo YouTube account ilikila mwezi uweunapata progress ya Electric SGR of minimum speed 160km/hr in East Africa.
Sisi hatuna majigambo napili hatuko jobless kuwa tunaenda tunapiga SGR picha. Hiyo kazi tumempa huyo mturiki kuwa anatupatia updates za mwezi za SGR kupitia YouTube. Sisi tunafanya kazi nyingine zakujenga taifa. We are employed.
Mkitaka njooni tuwaajili kama waturiki mfanye kazi yakupiga picha nakutuwekea JF.
Mme maliza kujipendekeza Europe mmerudi kwa Mchina na kwa sasa anawanyosha. Tulimwambia raisi wa China alipokuja TZ awanyooshe mpaka mjue maana yakumkumbatia mzungu.Lol.,even the Chinese know them and that's why they'll be taken for granted till Goddot comes!
Remember the Chinese Ivory Queen? Her guts were beyond impunity because she knew them inside out!
China President First visit in Africa was in Tanzania.Lol.,even the Chinese know them and that's why they'll be taken for granted till Goddot comes!
Remember the Chinese Ivory Queen? Her guts were beyond impunity because she knew them inside out!
Mme maliza kujipendekeza Europe mmerudi kwa Mchina na kwa sasa anawanyosha. Tulimwambia raisi wa China alipokuja TZ awanyooshe mpaka mjue maana yakumkumbatia mzungu.
China President First visit in Africa was in Tanzania.View attachment 745683
The Major General of China in Tanzania with Magufuli. Why not Uhuru ???Lol.,even the Chinese know them and that's why they'll be taken for granted till Goddot comes!
Remember the Chinese Ivory Queen? Her guts were beyond impunity because she knew them inside out!