The Gentleman Pirate
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 1,450
- 921
UKWELI mchungu, umemaliza kaka,big up!. Seminari hizi ndio sehemu Ya kujifunzia ufisadi NA roho mbaya. Kila ufisadi nchi hii ni Hawa watu. Madaktar wengi wametokea shule hizo. Wamekuwa wakatili kipitiliza! Hivi inakuaje unamuona mgonjwa anateseka hadi anafika kufa kwa kukosa matibabu unamuacha humsaidii kwa kuwa unaidai serikali mshahara mkubwa, kama Si roho mbaya/ukatili ni nn?!Na juu ya yote, hizi shule hazitasahaulika kwa kutuandalia wataalam walioshindwa kuipeleka popote nchi kiuchumi na ustawi wa jamii. Zimezalisha walevi wengi, wezi wengi na mafisadi tu. Very sad!
UKWELI mchungu, umemaliza kaka,big up!. Seminari hizi ndio sehemu Ya kujifunzia ufisadi NA roho mbaya. Kila ufisadi nchi hii ni Hawa watu. Madaktar wengi wametokea shule hizo. Wamekuwa wakatili kipitiliza! Hivi inakuaje unamuona mgonjwa anateseka hadi anafika kufa kwa kukosa matibabu unamuacha humsaidii kwa kuwa unaidai serikali mshahara mkubwa, kama Si roho mbaya/ukatili ni nn?!