Nafikiri ikifanyika sensa ya nchi inayoongoza kwa matatizo ya Akili na utopian thinking ,Kenya mtaongoza
Ego za kipuuzi ndio zinawadumaza hadi
KDF(Kenya drinking force) huwezi linganisha na Salvation Army(JWTZ) in Sub Saharan Countries and Africa at large ,
Utakuwa mpuuzi na usiyejua medani za majeshi katika bara hili Bali kujitia upofu wakati unaoana