Invisible JF Admin Joined Feb 26, 2006 Posts 16,286 Reaction score 8,380 Oct 14, 2008 #1 Mimi naweza kufanya hivi... What about you? Attachments Facedance.zip Facedance.zip 742.6 KB · Views: 133
K Kipanga JF-Expert Member Joined Apr 24, 2008 Posts 676 Reaction score 38 Oct 14, 2008 #2 Invisible said: Mimi naweza kufanya hivi... What about you? Click to expand... ...Huyo dogo amenimaliza sana hasa kwa jinsi anavyochezesha hayo masikio amenikumbusha nyau wangu nyumbani!!!!!!!
Invisible said: Mimi naweza kufanya hivi... What about you? Click to expand... ...Huyo dogo amenimaliza sana hasa kwa jinsi anavyochezesha hayo masikio amenikumbusha nyau wangu nyumbani!!!!!!!
Titus Member Joined Jul 28, 2007 Posts 81 Reaction score 2 Oct 17, 2008 #3 kaka najaribu kuangalia n nn unachoweza kufanya lkn nashindwa, nafikiri hii PC au net ya hapa nilipo ni kimeo
kaka najaribu kuangalia n nn unachoweza kufanya lkn nashindwa, nafikiri hii PC au net ya hapa nilipo ni kimeo
Invisible JF Admin Joined Feb 26, 2006 Posts 16,286 Reaction score 8,380 Oct 17, 2008 Thread starter #4 titus said: kaka najaribu kuangalia n nn unachoweza kufanya lkn nashindwa, nafikiri hii PC au net ya hapa nilipo ni kimeo Click to expand... Ah, mbona inaonekana vema tu mkuu? Upo China nini? 🙂
titus said: kaka najaribu kuangalia n nn unachoweza kufanya lkn nashindwa, nafikiri hii PC au net ya hapa nilipo ni kimeo Click to expand... Ah, mbona inaonekana vema tu mkuu? Upo China nini? 🙂
Titus Member Joined Jul 28, 2007 Posts 81 Reaction score 2 Oct 18, 2008 #5 du, leo nimeiona kaka, nipo kwa wala pilipili mkuu, huyu jamaa ni noma and i dont think hii yawezekana kwa mazingira ya kawaida, lookm at that nose, hahaha
du, leo nimeiona kaka, nipo kwa wala pilipili mkuu, huyu jamaa ni noma and i dont think hii yawezekana kwa mazingira ya kawaida, lookm at that nose, hahaha
R RR JF-Expert Member Joined Mar 17, 2007 Posts 6,968 Reaction score 2,035 Oct 18, 2008 #6 Mimi naweza kufanya hivi... What about you? Click to expand... Mkuu hata ukiweza kufanya ni useless kwetu, hatutsona vimbwanga vya sura yako...you are invisible, aren't you?
Mimi naweza kufanya hivi... What about you? Click to expand... Mkuu hata ukiweza kufanya ni useless kwetu, hatutsona vimbwanga vya sura yako...you are invisible, aren't you?