What if Dar Earthquake hit Nairobi?

What if Dar Earthquake hit Nairobi?

Wakenya msije sema hatukuwaambia ....siku likitokea tetemeko Nairobi na majengo kupukutika ndiyo mjidai kupigia kelele uhuru
 
Hahahaha ! Ah wa tz wenzangu embu a heni zenu, unajua nature ya mwamba pia inadetermine kiwango cha madhara jaman. Iv vitu ni nature engineer wabongo wengi vilaza tu ndio maana hata wengine jana wameshindwa kesi na kibaka toka ghana anayejifannya mchezaji
 
Mawazo ya kimasikini kabisa.

Yani tumefika hatua Watanzania stress zimezidi hadi tunaringia tetemeko ?

Anajaribu kuonesha hali ingekuwaje iwapo tetemeko lingetokea Nairobi. Maana kumbuka 50% of Nairobi buildings are not fit for human habitation. This's why they cilapse and cause fatalities every now and then.
 
Tunaringia ubora wa elimu yetu katika uhandisi wa ujenzi, tetemeko kubwa kama lile bila maafa si kitu kidogo.
Hakuna Cha kuanguka hapa 😉
images (23).jpg
22046498_2155016471191209_111704014321925244_n.jpg
urban-slums-of-dar-es-salaam-in-tanzania-picture-id955732734.jpg
 
utopian thinking.

Thanks, if that, at all, is the only thing you can utter. Never come here, just go where your thinking capability belongs, jukwaa la politika with your fellow ukwawa/ukwuta sijui vitu gani hivyo.
 
Back
Top Bottom