Tetesi: What if it was KQ? airline industry is no joke Tz

Wapi basi na hawa watanzania! ATCL iki book flight attendants kwa hoteli ya 1 star kule india wanamshukuzu mungu mdogo Magufuli kwa kuwaletea ndege mpya mpya tena kwa cash!!! Hautawahi kusikia wafanyikazi wa ATCL wakilalamikia chochote, Mwanzo hata hawana Union, watapata wapi nguvu za kisheria za kufanya maanzamano?
 
Mwishoe mtaugua kila kukicha tanzania .
 

Lkn pia umewahi sikia the well performing Ethiopian Airways workers go on strike like other companies.
 
Lkn pia umewahi sikia the well performing Ethiopian Airways workers go on strike like other companies.
Ethiopian hailipi kodi kwa Serekali, Tofauti na KQ inayolipa $140m kwa serekali kila mwaka... Ya pili, Ethiopian ina control Bole International Airport, kwahivyo campuni zengine zikitua Bole airport zinalipa Landing fee na zinanunua mafuta ya ndege, wasafiri nao wananunua vitu kwa dutty free shops... Hio faida yote inahesabiwa kama faida ya 'Ethiopian airlines" Kuna uwezekano hata ikawa biashara ya ndege Ethiopia haina faida, lakini kwasababu ya ku control Bole airport inaficha kila kitu..
Kwa mfano Shamba la KAA la nairobi linasemekana likona thamani ya $10B...... KQ ina thamani ya $1.5 B.... Hii inamaanisha kama KAA na KQ wangeungana kama vile kule Ethiopia, KQ itapandisha thamani yake hadi $11B!!!!!!!!


Alafu mbali na hayo, Hebu angalia hizi takwimu za wafanyikazi wanaofanya kwa viwanda vya nguo kule Ethiopia VS Kenya, Minimum wage kwa wakenya, mfanyikazi wa chini kabisa ndani ya kiwanda cha nguo analipwa wastani ya $207 kwa mwezi wakati waethiopia ndo wamwisho kabisa wanalipwa $26 !!!! kwa mwezi!!!!!




Yani jamaa ni worst paid gourment factory workers in the world?????? wafanyikazi hawana union ya kutetea haki yao, hawaruhusiwi kugoma...etc



Sasa unafikiri hao marubani na wahudumu wa Ethiopian airlines wanalipwa chochote kama mambo ni hayo ya kuwa lowest paid in the world??? ndio maana likampuni linapata mafaida utakuta hio mishahara yote hata haifiki $1million kwa mwaka.
 

Attachments


learnt something from this report: congrats for the well explained document
 
Hit them up!
 
Lakini hatuko kwenye LDC Kama nyinyi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…