joka Jeusi atafadhaika sana, maana hakutakua na bikra..
Rikiboy & zero IQ watakua na crew yao mtaani katika mawindo deilee, na kijiwe cha zero ndo itakua genge la story za nani kala nani au kaliwa na nani.
The Boss atakua kila akipita kwenye makundi ya vijana anasikitika huku akisema interesting,
KidukuLilo atakua anachekelea tu jinsi range yake inavo chuchumaa na kuchana makilometa kwenye barabara mbovu za Ruvuma.
Ushimen utamkuta karibu na notce board ya halmashauri akiweka matangazo ya kazi deile,
rakims na mshana utawakuta mchana wako vilingeni kwao wamechill.
Mlevi mmoja atafungua ki bar chake na jion ya wkiend kma leo utakuta kina khantwe, joanah, depal , miss chaga, financial service n.k wakiwa wanadanga pale,
Tutaendelea.
Sent using
Jamii Forums mobile app