Richmoto Kushmoto
JF-Expert Member
- Jan 18, 2021
- 549
- 560
Nimeshusha Ina episode 2 Natamani waachie hizo zilizobak hawa jamaa ni vichwa aseeMarvel always for the win, nlifikir hakutakuwa na phase nzuri zaid ya ile iliyoisha ya Endgame nashangaa hii phase mpya imekuwa [emoji91] ghafla,
Kevin Fiege anatusalimia kwa jina la jamhuri ya united states, sema yeye anasalimia vizuri na kwa habari nzuri sasa
Nimeshusha Ina episode 2 Natamani waachie hizo zilizobak hawa jamaa ni vichwa asee
Kila ijumatano nawafatilia asee natamani huku ingekuwepo pia Disney plus.Nimeshusha Ina episode 2 Natamani waachie hizo zilizobak hawa jamaa ni vichwa asee
mpaka 10 arosto wanatuachia [emoji1787][emoji1787]Kila ijumatano nawafatilia asee natamani huku ingekuwepo pia Disney plus.
Naisubiria saa tano nishushe ep 3 nadhani wiki ijayo hakutakua na episode since zimebaki 6 na zitaisha mwezi wa 10. Zikiisha tunaanza na Hawkeye hao tunasubiri Spiderman movie
Mshalishwa uongo nyinyiwalisema marvel ni uaandaaji wa mpinga kristu..
nipo huku kiborloni ndani ndani so inaezekana hata marvel sijui ni nini..nisamehewe
walisema marvel ni uaandaaji wa mpinga kristu..
nipo huku kiborloni ndani ndani so inaezekana hata marvel sijui ni nini..nisamehewe
The Punisher is really dark and gruesome, a pure depiction of Marvel's grotesque iteration. For a Marvel's Movie the senseless violence is just appalling......Sijajua hiyo ni theory au sema maybe ila nachojua kwa sasa wako vzr labda baadae wabadilike so far marvel movies zao hazina mambo ya ajabu unaweza angalia na familia hazina nudes, kissing wala violence za ajabu ukilinganisha na movies nyingine zenye mambo meusi
The Punisher is really dark and gruesome, a pure depiction of Marvel's grotesque iteration. For a Marvel's Movie the senseless violence is just appalling......
Napenda sana.movie za marvel.. lkn too bad siangaliagi animation
Nimesema siangalii animation tu.. lkn movie za marvel ambazo sio animation nadhani nimeangalia zote.. kuanzia Cap America the first Avenger hadi Avenger End game..The punisher kweli iko na violence sema ile ni Tv show hapo nyuma walikuwa hawafanyi vizuri sana kwa Tv shows lakini sasa hivi naona wanabadilisha hiyo wanajitahid toka TFAWS, Loki,Wanda vision. Wamekuwa acquired na Disney hiyo inaleta unafuu maana Disney mara nyingi ni Kids friendly.
Kusema yote hayo sijui sana maana hii dunia ina vitu vingi vinaendelea behind closed doors, inaweza ikawa plan kuanza innocent mpaka kuishia kuwa kama HBO
Marvel movies zote sio animation zipo za kawaida
Nimesema siangalii animation tu.. lkn movie za marvel ambazo sio animation nadhani nimeangalia zote.. kuanzia Cap America the first Avenger hadi Avenger End game..
Mpaka hizi series za LOKI , falcon & winter soldier n.k
Nakusoma, lakini tangu Marvel ichukuliwe na Disney bado kuna filamu nyingi tu zimejaa damu, lugha mbovu na vitendo vya kishoga. Hebu angalia Dead-Pool, Logan zote zilivyo, tena hapo bado nasikia Spawn, Blade na Moon-Knight ambazo zimejaa Blood & Gore zinatengenezwa. Hollywood mbali na kutupa burudani, kuna ajenda zinasaidia kusambaza.....The punisher kweli iko na violence sema ile ni Tv show hapo nyuma walikuwa hawafanyi vizuri sana kwa Tv shows lakini sasa hivi naona wanabadilisha hiyo wanajitahid toka TFAWS, Loki,Wanda vision. Wamekuwa acquired na Disney hiyo inaleta unafuu maana Disney mara nyingi ni Kids friendly.
Nakusoma, lakini tangu Marvel ichukuliwe na Disney bado kuna filamu nyingi tu zimejaa damu, lugha mbovu na vitendo vya kishoga. Hebu angalia Dead-Pool, Logan zote zilivyo, tena hapo bado nasikia Spawn, Blade na Moon-Knight ambazo zimejaa Blood & Gore zinatengenezwa. Hollywood mbali na kutupa burudani, kuna ajenda zinasaidia kusambaza.....