habari za asbh dr.mimi ni mrs,ni mwaka wa nne sina mtoto na tumejaribu kwenda hsp mbalilmbali na majibu tuliyopewa ni kwamba: Mimi nipo sawa kabisa ila mwenzangu no spermatozoa seen ila checkup zengine yupo sawa,dr tunaweza kupata watoto? tusaidie tafadhali.........aksante sana
Habari za asbh DR.mimi ni Mrs,ni mwaka wa nne sina mtoto na tumejaribu kwenda hsp mbalilmbali na majibu tuliyopewa ni kwamba: mimi nipo sawa kabisa ila mwenzangu no Spermatozoa seen ila checkup zengine yupo sawa,Dr Tunaweza kupata watoto? Tusaidie tafadhali.........Aksante sana
Kwa kifupi kujibu swali lako.... ndio mnaweza kwa kutumia high medical technology "Invitro Fertilization" kwa kuextract sperm direct from the testicles; if there is an obstruction.
Kwa hapa tanzania, hii huduma inapatikana?
Gharama yake ni kiasi gani? Na inapatikana wapi mdau?
Muulize Lady JD au Gadner G Habash.
Muulize Lady JD au Gadner G Habash.
yaah kaka angu,thats what i do want,if anyone know aweke hewani,I ril mean it wadauKwa hapa tanzania, hii huduma inapatikana?
Gharama yake ni kiasi gani? Na inapatikana wapi mdau?
Thanks much,ila utanisaidia zaidi kama kutakua na dr unamfahamu whereva ntafurah zaidihapo nilipo bold ndio naomba nipajibie...mnaweza kupata watoto ila baada ya tatizo la mzee la spermatozoa kushughulikiwa ki-taalamu...ushauri ni kuwa waoneni wataalamu juu ya hilo...na mumuweke mwenyezi mungu mbele ya hili....innallah mas-waabirinah
Thanx kaka i will in dar by next wk ntaenda na mr,Allah akubarikiInVitro-Fertilization Clinic/Lab...NADHANI NIMEIONA MOJA IPO PALE OPPOSITE NA CLOUDS RADIO STATION BUILDING ALONG ILE NJIA YA KUPITIA COCA COLA...KUNA KIJI-SIGNBOARD KIDOGO KIMEANDIKWA IVF LAB/CLINIC JARIBU KUPITA NA KUULIZIA PALE...ILA NAJUA NAIROBI ZIPO...ILA NI GHALI..CAN GO UPO TO 30,000 USD.