Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.Ni vizuri kweli kuwekana wazi vipato vyenu, lakini application hii haiko Bongo.
uweke mapato yote mezani, small hausi umeintain vipi?
Unanistaajabisha, au wewe bado lena?
Haswa! Niliwahi kusikia kuwa ndoa ni shughuli ikivunjika kila mmoja anarudi kwao.niweke hadharani ili iweje....we baki na zako na mimi nibaki na zangu.....mahitaji na matatizo ya famii tutatue pamoja.....
.niweke hadharani ili iweje....we baki na zako na mimi nibaki na zangu.....mahitaji na matatizo ya famii tutatue pamoja.....