what is branding

what is branding

Eric Cartman

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2009
Posts
11,966
Reaction score
11,218
Branding in marketing maana yake ni kutengeneza bidhaa ambayo wateja wanakuja kuizoea.

Psychologically Branding is very important because it’s what your customers become associated with and expect reliably.

Ndio maana Facebook, Twitter miaka mingi zipo vilevile. Wanachofanya ni kuongeza features tu lakini muonekane wake unabaki vilevile.

That is to say haya mabadiliko ya JF mliyofanya kwa wengine yametukera.

Hakuna ubinifu wowote zaidi ya kero, every few years mnatulazimisha kuzoea mfumo mpya.

The only good thing is that we are addicted to the social platform, rather being impressed with your stupid innovative attempts.

Changes made are just pathetic I am sure sio mimi tu niliokerwa.

Ndio maana kwenye art aesthetic ni concept muhimu. This changes are bad and tasteless.
 
Back
Top Bottom