Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
- Thread starter
-
- #41
everything is perfect...bado unakubali hii sentensi yako?Definitely
everything is perfect...bado unakubali hii sentensi yako?
Mkuu.. kuna msemo usemao hakuna kizuri kikosacho kasoro.. sasa je pengine wewe kasoro hizo ndio unataka kuondoa perfection.?. i dont know.. labda ungefafanua "flaws according to what"... kwani huwezi kumshindanisha samaki na nyani katika kupanda mti, hivyo basi Sana sana anaona kikubwa kilichopo ni interelationship na interdependent that make whole thing to be perfect.paradox..everything is perfect...acc. to dictionary perfect means without flaws... ndugu 2013 kweli everythin has no faults/flaws?
hiyo hiyo ndo inasema hakuna aliye mkamilifu (bible) ...paradox.. ila kama umetengeneza device yeyote na haitendi kwa vile ulivotaka (flaws) je itakuwa perfect. namaanisha mf. kitu kimekuwa na efficiency 80% thus depreciation itakuwepo wear and tear. sasa kama kitadepreciate will you judge it perfect? Kwa flwas sio kulinganisha ila ni flaws ya kitu chenyewe. mfano wanayama wako perfect coz wanatabia zilizosawa kama simba wote duniani hawatofautiani kitabia lakini watu wanatofautiana tabia, lugha, muonekano, size nk.....kwo kama ntazungumzia flaws ntazungumzia za kitu husika bila kulinganisha. kama nimetengeneza tairi la gari kutembea 1000000km likatembea 100000km, ntajua hiyo ni flaw. sijui tuko pamoja mkuu?Mkuu.. kuna msemo usemao hakuna kizuri kikosacho kasoro.. sasa je pengine wewe kasoro hizo ndio unataka kuondoa perfection.?. i dont know.. labda ungefafanua "flaws according to what"... kwani huwezi kumshindanisha samaki na nyani katika kupanda mti, hivyo basi Sana sana anaona kikubwa kilichopo ni interelationship na interdependent that make whole thing to be perfect.
As i told you before, i'm trying to be optimistic here..kuna mambo mengi sana ya kimaumbile ambayo haya-match.
Lakini with time and technology they all can..
Kibibilia Mungu alipoumba mbingu na ardhi na vitu vyote alisifu akasema kila kitu ni chema*.
hiyo hiyo ndo inasema hakuna aliye mkamilifu (bible) ...paradox.. ila kama umetengeneza device yeyote na haitendi kwa vile ulivotaka (flaws) je itakuwa perfect. namaanisha mf. kitu kimekuwa na efficiency 80% thus depreciation itakuwepo wear and tear. sasa kama kitadepreciate will you judge it perfect? Kwa flaws sio kulinganisha ila ni flaws ya kitu chenyewe. mfano wanayama wako perfect coz wanatabia zilizosawa kama simba wote duniani hawatofautiani kitabia lakini watu wanatofautiana tabia, lugha, muonekano, size nk.....kwo kama ntazungumzia flaws ntazungumzia za kitu husika bila kulinganisha. kama nimetengeneza tairi la gari kutembea 1000000km likatembea 100000km, ntajua hiyo ni flaw. sijui tuko pamoja mkuu?
mkojo wa ngamia unalewesha!!!:iamwithstupid:hii ndio perfection????
TABIRI ZA YESU
Kila mti hutambulika kwa matunda yake." (Luka 6:44).
Sawa na usemi huu wakati tunampima Bwana Yesu Kristo tunamkuta kwamba ameanguka vibaya
sana.
Ingawa sisi tumempenda na tumemuheshimu. Lakini kumpenda kwetu hakumsaidii. Maana Biblia inamuangusha vibaya sana.
Kwa mfano:
(1) "Amini nawaambieni, pana watu katika hawa wasimamao hapa, ambao hawataonja mauti kabisa, hata watakapo muona mwana wa Adamu akija katika ufalme wake." (Mathayo 16:28).
Watu ambao walikuwa pamoja naYesu na vizazi vyao zaidi ya hamsini wamekwisha kufa tayari.
Hakuna mmoja wao ambaye ameweza kushuhudia, mwana wa Adamu (Yesu Kristo) akija katika ufalme wake.
Kwahiyo utabiri wa Yesu haujatimia bali imeonekana uwongo.
2. "Yesu akamwambia, amin, nawaambia ya kwamba ninyi mlionifuata mimi, katika ulimwengu mpya, atakapoketi Mwana wa Adamu katika kiti cha utukufu wake, ninyi nanyi mtaketi katika viti kumi na viwili, mkiwahukumu kabila kumi na mbili za Israel." (Mathayo 19:28).
Katika aya hii Bwana Yesu Kristo aliwabashiria wanafunzi wake kumi na wawili kuhusu mwisho mwema wa kiimani na kuwa viongozi wa makabila ya Waisraeli.
Lakini mwanafunzi wake mmoja bwana Yuda hakumuasi tu bali alimuuza kwa shilingi thelathini. Kwa hivi alitoka katika imani na ufalme wa kiroho.
Biblia inasema kwamba:
"Wakati huo mmoja wa wale thenashara, jina lake Yuda Iskariote, aliwaendea wakuu wa makuhani, akisema, ni nini mtakacho nipa, nami nitamsaliti kwenu?
Wakampimia vipande thelethini vya fedha." (Mathayo 26:14 -15).
3. Bwana Yesu Kristo alisema kwamba:
"(Ewe Petro) nami nitakupa funguo za ufalme wa mbinguni, na lolote utakalo lifunga duniani, litakuwa limefungwa mbinguni,
na lolote utalolifungua duniani, litakuwa limefunguliwa mbinguni." (Mathayo 16:19).
Katika aya hii Bwana Yesu alim'bashiria Petro kwamba ataendelea vizuri kiimani kwa hali ya juu, lakini hali inaonesha kwamba utabiri huu wa Bwana Yesu ulivurugika vibaya mno.
Hata inaonekana aibu kutaja utabiri ule.
Biblia inasema kwamba:
"Na Petro alikuwa ameketi nje behewani; kijakazi mmoja akamwendea, akasema, wewe nawe ulikuwapo pamoja na Yesu wa Galilaya. Akakana mbele ya wote, akisema, sijui usemalo. Naye alipotoka nje hata ukumbini, mwanamke mwingine alimuona, akawaambia watu walio kuwako huko, huyu alikuwa pamoja na Yesu Mnazareti. Akakana tena kwa kiapo, simjui mtu huyu. Punde kidogo, wale walio hudhuria wakamwendea, wakamwambia Petro, hakika wewe nawe u mmoja wao. Kwa sababu hata usemi wako wakutambulisha. Ndipo akaanza kulaani na kuapa na kusema, simjui mtu huyu." (Mathayo 26:69-74).
4. "Yesu akamwambia mwizi mmoja aliyekuwa pamoja naye msalabani:
"Amin, nakuambia leo hii utakuwa pamoja nami peponi." (Luka 23:43).
Aya hii inaonesha kwamba siku ya kusema habari hii Bwana Yesu Kristo na huyu mwizi wangeenda peponi kwa Baba lakini
inaonekana kwamba utabiri huu haukutimia, maana baada ya siku ya tatu Yesu bado alikuwa duniani.
Biblia inasema kwamba Yesu alimwambia, usinishike, kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba yangu naye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu." (Yohana 20:17).
Katika mifano hii ya Biblia nimejaribu kuonesha watu baadhi ya matunda ya tabiri za Yesu, na kila mmoja analalamika kwamba matunda haya ni machungu sana.
Kwa hiyo mti umetambulika kwa matunda yake.
maandishi ya blue...thus mwanzo niliuliza if a perfect thing can change...kwo ni vema uniambie..kama ni mkamilifu kwa nini ajitahidi kupigan kuwa mkamilifu.kwa bibilia kusema hakuna aliyemkamilifu haimaanishi hatuwezi kuufikia utimilifu La asha, kwani mbingu itarithiwa na watakatifu tu. Ama sivyo Yesu asingetutaka tuutafute anajua Upo na tunao uwezo wa kuupata kwakuwa umewekwa kwaajili yetu . Hapa inatutaka tufahamu tunakamilishwa kupitia Mungu. Ukamilifu wetu na maisha yetu umeunganishwa kupitia kumtegemea Mungu.
Mwanaume aliumbwa na mungu, lakini Mungu akampa mwanamke ili kumkamilisha, hapa utaona mwanamke alitokea kwa mwanaume huyo huyo.Lakini tuka hasi na kutengana na Mungu na yesu amekuja tena kutuunganisha na mungu ili tuwe wakamilifu.
Sasa kuna kanuni ya kushirikiana ama kushirikisha Mungu ili tudhihirishe ule ukamilifu ambao mungu alituumba nao. ni swala la kucheza na kanuni tu. inaweza kuwa kupitia Maombi, neno la ungu na sala.
Hakuna aliyefanikiwa Bila uwezo wa Mungu-unless nazungumza na atheist
Kuhusu mfano wa Gari:
mkuu, mtoto anapozaliwa hatutegemei atembee hapo hapo na asipotembea hapohapo hiyo sio flaws ..kila jambo lina stage.. time is a factor. Sasa hicho unachokieleza kuhusu gari ni swala la linalohitaji muda. Kwani enviroment is still conducive to ensure that you can build a Car that reach 10 million Km or even higher,na hii ni swala la muda katika kufanyia kazi kanuni kadhaa hivyo bado hii haiwezi kutiwa flaws."You need time as as Engineer."
Kuhusu kitu kuwa na depreciate hii sio flaws kabisa, bali ni element ya quality. Epecially kama unaweza kui-calculate na kuipa 80% depreciation, ..Na sababu ni kuwa upo uwezekano wa kupunguza ama kuondoa hiyo 80% mpaka kufikia 5% even up to zero. Ni swala la Muda tu.
Vilevile
unapoendesha gari na ukasikia linabadilika sauti na pengine kutoa moshi mwingi ni Ishara kuwa unataarifiwa kuwa linahitaji matengenezo. Ndio maana wale wanaotengeneza magari tunayaona ni ya kisasa sana na Imara na yenye ku-sense karibu kila kitu hata ukiligusa tu linatoa mlio kama vile ni kiumbe hai. Jibu ni kwamba wataalamu walichofanya ni kuzifanyia kazi kanuni mbalimbali za kifizikia. Ili hata wale madereva dummies waweze angalau kujihakikishia safe driving.
mfano: Na gari inaposema haina mafuta haisemi kwa lugha ya mwanadamu bali kuna mahali wameweka sense na ikitokea fuel imeshuka na kufikia kiwango hicho, unakuta taa inawaka.Lengo kutoa ishara kua Vehicle is running out of fuel.
All in all the world still offers us a way foward. and most important in the after life.
Kumbuka i'm trying to be optimistic.nimeandika haraka sijui kama nitaeleweka anyway
wanaotaka wasome...ila ni vizuri uwe umesoma biblehii ndio perfection????
TABIRI ZA YESU
Kila mti hutambulika kwa matunda yake. (Luka 6:44).
Sawa na usemi huu wakati tunampima Bwana Yesu Kristo tunamkuta kwamba ameanguka vibaya
sana.
Ingawa sisi tumempenda na tumemuheshimu. Lakini kumpenda kwetu hakumsaidii. Maana Biblia inamuangusha vibaya sana.
Kwa mfano:
(1) Amini nawaambieni, pana watu katika hawa wasimamao hapa, ambao hawataonja mauti kabisa, hata watakapo muona mwana wa Adamu akija katika ufalme wake. (Mathayo 16:28).
Watu ambao walikuwa pamoja naYesu na vizazi vyao zaidi ya hamsini wamekwisha kufa tayari.
Hakuna mmoja wao ambaye ameweza kushuhudia, mwana wa Adamu (Yesu Kristo) akija katika ufalme wake.
Kwahiyo utabiri wa Yesu haujatimia bali imeonekana uwongo.
2. Yesu akamwambia, amin, nawaambia ya kwamba ninyi mlionifuata mimi, katika ulimwengu mpya, atakapoketi Mwana wa Adamu katika kiti cha utukufu wake, ninyi nanyi mtaketi katika viti kumi na viwili, mkiwahukumu kabila kumi na mbili za Israel. (Mathayo 19:28).
Katika aya hii Bwana Yesu Kristo aliwabashiria wanafunzi wake kumi na wawili kuhusu mwisho mwema wa kiimani na kuwa viongozi wa makabila ya Waisraeli.
Lakini mwanafunzi wake mmoja bwana Yuda hakumuasi tu bali alimuuza kwa shilingi thelathini. Kwa hivi alitoka katika imani na ufalme wa kiroho.
Biblia inasema kwamba:
Wakati huo mmoja wa wale thenashara, jina lake Yuda Iskariote, aliwaendea wakuu wa makuhani, akisema, ni nini mtakacho nipa, nami nitamsaliti kwenu?
Wakampimia vipande thelethini vya fedha. (Mathayo 26:14 -15).
3. Bwana Yesu Kristo alisema kwamba:
(Ewe Petro) nami nitakupa funguo za ufalme wa mbinguni, na lolote utakalo lifunga duniani, litakuwa limefungwa mbinguni,
na lolote utalolifungua duniani, litakuwa limefunguliwa mbinguni. (Mathayo 16:19).
Katika aya hii Bwana Yesu alim'bashiria Petro kwamba ataendelea vizuri kiimani kwa hali ya juu, lakini hali inaonesha kwamba utabiri huu wa Bwana Yesu ulivurugika vibaya mno.
Hata inaonekana aibu kutaja utabiri ule.
Biblia inasema kwamba:
Na Petro alikuwa ameketi nje behewani; kijakazi mmoja akamwendea, akasema, wewe nawe ulikuwapo pamoja na Yesu wa Galilaya. Akakana mbele ya wote, akisema, sijui usemalo. Naye alipotoka nje hata ukumbini, mwanamke mwingine alimuona, akawaambia watu walio kuwako huko, huyu alikuwa pamoja na Yesu Mnazareti. Akakana tena kwa kiapo, simjui mtu huyu. Punde kidogo, wale walio hudhuria wakamwendea, wakamwambia Petro, hakika wewe nawe u mmoja wao. Kwa sababu hata usemi wako wakutambulisha. Ndipo akaanza kulaani na kuapa na kusema, simjui mtu huyu. (Mathayo 26:69-74).
4. Yesu akamwambia mwizi mmoja aliyekuwa pamoja naye msalabani:
Amin, nakuambia leo hii utakuwa pamoja nami peponi. (Luka 23:43).
Aya hii inaonesha kwamba siku ya kusema habari hii Bwana Yesu Kristo na huyu mwizi wangeenda peponi kwa Baba lakini
inaonekana kwamba utabiri huu haukutimia, maana baada ya siku ya tatu Yesu bado alikuwa duniani.
Biblia inasema kwamba Yesu alimwambia, usinishike, kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba yangu naye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu. (Yohana 20:17).
Katika mifano hii ya Biblia nimejaribu kuonesha watu baadhi ya matunda ya tabiri za Yesu, na kila mmoja analalamika kwamba matunda haya ni machungu sana.
Kwa hiyo mti umetambulika kwa matunda yake.
Nakubaliana na wewe kwamba ...kukomaa kwa Optimistic ni sawa na kuwa Fundamentalist/Radical and viceversa is true.maandishi ya blue...thus mwanzo niliuliza if a perfect thing can change...kwo ni vema uniambie..kama ni mkamilifu kwa nini ajitahidi kupigan kuwa mkamilifu.maandishi ya kijani...mimi ni nihilist sio atheist. ntarudi kueleza nihilist.kukomaa kuwa optimistic ni sawa na kuwa fundamentalist/radical. ila sio mbaya. the opposite of what you know is also true
akhsante mkuu...je nije kwenye imani zenu na yangu kidogo?Nakubaliana na wewe kwamba ...kukomaa kwa Optimistic ni sawa na kuwa Fundamentalist/Radical and viceversa is true.
it is true that..a Perfect thing can change..but that doesn't imply to be imperfect*.
According to Albert Einstein special relativity ..Energy can be converted into Matter. Even into a space. Energy can form a matter, because in a technical sense, you cannot just create matter out of energy.
example by colliding electrons and positrons. Some of thekinetic energy in the collision goes into creating new particles.
Also, Einstein's equation, Energy = Mass x the square of the velocity of light, tells you that it takes a huge amount of energy to create matter in this way.
I think perfectness is a mental thing, sometimes we tend to call our self imperfect only when we choose to work and perform below our abilities/potentials, Without knowing exactly our abilities and disabilities.
It is true that human does differ one another. Mind that our difference offers nothing from our perfectness.
But faith(our belief in God) urges Us collectively to perform according to our potentials, ..in a sense that it is explainable. i.e we have no benchmark for determine each one individuals because nobody has ever established before. The faith tends to treat homogeneously. and sometimes but not often overlook each one individual talents.
That's why when we commit a mistakes(working below our potentials) - we give an excuses and saying we human--we are are not an Angel.But the fact is ..we don't know each and everybody potentials.I hope when we know. we will be in a position to appreciate our perfectness.
mkojo wa ngamia unalewesha!!!:iamwithstupid:
MKOJO WA NGURUWE HUU !!!!
Non-Existent Prophecies
.
Matthew 2:23 "that which was spoken by the prophets, 'He shall be called a Nazarene.'"
The words Nazareth / Nazarene are not even found in the Old Testament.
Use a word search.
.
Matthew 27:9-10 In reference to the potter's field being bought with thirty pieces of silver, quoting Jeremiah in the Old Testament.
This is not in Jeremiah at all.
.
Luke 24:46 & I Cor.15:4 After Jesus resurrected, he said, "Thus it is written, and thus it behooved Christ to suffer, and to rise from the dead the third day."
This is a non-existent prophecy.
There is no reference to a third day resurrection anywhere in the Old Testament.