elixer of life
JF-Expert Member
- Dec 10, 2016
- 633
- 624
Habari wana jf
leo nahitaji nieleze kwa ufupi tu kuhusu mmea huu wa bangi au cannabis hii ni kutokana na propaganda mbaya kuhusu mmea huu kwa jamii, yaani Force knowledge.
Cannabis plant au mmea wa bangi.
kitu gani kinafanya mmea huu kuwa miongoni mwa mimea ambayo inafanyiwa sana research.
Cannabis ni mmea ambao unajumuisha majani na mauwa makavu ya C. sativa.
Cannabis strains (Ain za mmea huu).
Cannabis ina aina tatu na nyinginezo zilibaki ni chotara aina hizi za mmea huu nyingi ni maarufu sana na kila tuendapo zipo ila kuna aina moja ya mmea huu haipatikani kirasi hii inatokan na kuwa mmea huu hautumiki sana katika dawa kwasababu huzalisha kemikali ndogo ya aina ya tch(tetrahydrocannabinol) na cbd(cannabinol) mara nyingi unaweza pata mmea kwa wale wataalam wanaotengeneza chotara (hybrid).
Aina za mmea huu ni.
C. sativa, C. indica na C. ruderalis. Kati ya hizi aina tatu za mmea huu c. ruderalis ndio mmea ambao kiukweli upatikanaji wake ni ghari sana na unalimwa huko ulaya ya magharibi na urusi.
Chemical Compounds Constituents.
Hapa Nitazungumzia kwa ufupi tu, ni nini haswa kinaifanya bangi au cannabis au marijuana kuwa special, hii ni kutokana na kemikali zake ambazo zinakuwamo katika mmea huu. Kwa miaka mingi wataalam wa mimea walingundua kuwepo kwa THC (Tetrahydrocannabinol) na CBD (Cannabidol) na hizi kemikali kwa ujumla zinaitwa Cannabinoid licha ya kuwepo kwa kemikali uchunguzi uliendelea siku hadi siku wakagundua kwa kuna aina nyingine 120 ya kemikali hizi na hapa unachotakiwa jua kuwa katika kampaundi hii ya cannabinoid sio hizi mbili tu nilizo taja hapo juu ndio zinatengeneza kampaundi hii laahasha zipo nyingine nyingi nitaziweka kwa hapa ila sitaelelezea zinafanya nini. nazo ni CBN – (Cannabinol), CBC – (Cannabichromene), THCa – (Tetrahydrocannabinolic Acid) 9-Tetrahydrocannabinol 9-THC 9
8-Tetrahydrocannabinol 8-THC
Cannabichromene CBC
Cannabicyclol CBL
Cannabidiol CBD
Cannabielsoin CBE
Cannabigerol CBG
Cannabinidiol CBND
Cannabinol CBN
Cannabitriol CBT
Hizi ni baadhi ya kemikali ambazo zinapatika katika mmea wa bangi au cannabis zipo nyingi sana huwezi kuzilezea kwa siku moja ukimaliza.
wanadai kuwa ni kati ya mimiea complicated sana katika dunia hii kwani katika kemikali hizi hakuna hata moja iliyo kuwa na nitrogen group yaani kama zile zile za alkaloid, ninapo zungumzia alkaloid ni zile za quinoline, opioid, caffeine, nicotine, isoquinoline, na nyinginezo nyingi.
Na hii ndio inafanya mmea huu kuwa niwaajabu sana ukilinganisha na mingine
Ni magonjwa gani haswa mmea wa cannabis uneweza saidia kwa hali ya juu zaidi kama itaandaliwa kwa usahihi zaidi.
AIDS/HIV, tunajua kwamba huu ugonjwa huwa una kashi kashi zake hivyo bangi au cannabis itamsaidia mgonjwa huyu kulejesha appetite, kumfanya alale vizuri pasipo kuwa na ndoto za kutisha hii ni kwa mujibu wa watumiaji wa ARV haswa ile TLE huwa ina sababisha ndito mbaya wakati wa usiku pia mmea huu unasaidia kufunga kuhara kwa mgonjwa huyu, mawazo, na mengineyo yanayohusika na ugonjwa huu.
Kifafa au dondoo, Bangi ya tiba dondoo katika majaribio mapema katika Northwestern Langone matibabu kituo cha ilionyesha kupunguza kwa asilimia 50 katika mzunguko wa fulani kifafa katika watoto na watu wazima katika somo la wagonjwa 213 hivi karibuni.
Alzheimer's ni aina ya ukichaa ambayo husababisha matatizo ya kumbukumbu, fikra na tabia. Dalili kwa kawaida kuendeleza polepole na kuwa mbaya zaidi baada ya muda, kuwa na makali ya kutosha kuingilia kati na kazi za kila siku.
Bangi ya tiba na baadhi ya kemikali za mmea huu zimetumika kusaidia wagonjwa wa Alzheimer's kupata uzito, na utafiti kupatikana kwamba hupunguza baadhi ya tabia kukuta kwamba wagonjwa inaweza maonyesho. Katika seli moja masomo, watafiti kupatikana sjunkit maendeleo ya amana ya protini kwenye ubongo. Wanasayansi wanafikiri protini hizi inaweza kuwa sehemu ya nini husababisha Alzheimer's, ingawa hakuna anayejua nini husababisha ugonjwa.
CANCER, kuna njia nne ambazo medical cannabis hutumia kuisambaza na kuizuia saratani na hii inaunganisha saratani aina zote japo kuna maswali unaweza kutana nayo kwanini bob marley alikuwa mtumiaji mzuri wa mmea huu ila saratani ndio ilimuua jibu nikwamba kuna maandalizi sahihi ya mmea huu ili utumike kama dawa ya kutibu saratani . Does Cannabis Cure Cancer?
tembelea web hiyo hapo juu ili uweze jifunza zaidi.
Naomba niolodheshe baadhi ya magonjwa ambayo mmea huu unaweza pambana nayo kwa usahisi zaidi.
Depression and anxiety, Schizophrenia na tunajua kuwa kuna tatizo la bacterial resistance kwa baadhi ya dawa nyingi sana pia hii iko vizuri katika kutatua tatizo hilo. pia takribani magonjwa mengi yanayohusiana na ubongo inasaidia sana kutatua achilia mbali hayo yaliotajwa hapo juu.