Habarini wana JF
Nmetafakali hadi uwezo wangu ulipoishia nmeshindwa kudumbua janja inayotumika kwenye hesabu hapo chinu
*BIBLIA INA VITABU 66,SASA CHUKUA 66 TOA UMRI WAKO KISHA JUMLISHA 50 ...UTAPATA MWAKA WAKO WA KUZALIWA....*
*#JINA LA BWANA LIPEWE SIFA*
Wajuvi wa mambo naombeni kueleweshwa
NAWASILISHA.