Mtego wa Noti
JF-Expert Member
- Nov 27, 2010
- 2,591
- 1,616
Mkuu,
Umeboa!
Hii kitu haina raha yoyote kuongelea hapa majukwaani, especially kama unayemwongelea ni mwandani wako!
Una raha gani aisee?
Kakaeni kama familia na mkeo muongelee jinsi ya kukabiliana na challenge ya maisha haya na yajayo, na jinsi ya kumlea mtoto wenu mtarajiwa, na zaidi kumwepusha na tatizo!
Andamana na mkeo muwaone medical practitioners mara moja!
cjui kapotelea wapi? kuna jamaa kauibua ila naona una wahusu wengi.Duh huu uzi wa mwaka 2011
na mtoa mada ni kitambo sijamtia machozi
Duh huu uzi wa mwaka 2011
na mtoa mada ni kitambo sijamtia machozi
Hi GT!
my wife is pregnancy (5months) her clinic card shows she has blood group 0 and rh +ve
and PMCT1
PMTCT1 ni negative. PMTCT2 ni positive, PMTCT3 matokeo hayana uhakika na kwamba ukiona PMTCT ujue amesahau kurekodi au hana ujuzi wa kutofautisha maana ya namba hizo na hivyo anajiepusha na utata utakaotokea
Hakuna PMTCT 3....
Ipo 0,1 na 2 ( kipindi cha nyuma zilikua zinatumika rangi tatu ili kutofautisha)
0 - iwapo mama mjamzito ameshauriwa ila hajachukuliwa vipimo
1 na 2 sitopenda kuzingumzia
thread imenisikitisha............. aksante kwa ufafanuzi mzuri.
Prevention of mother to child transmission(PMTCT) ndio maana yake...hiyo 1 cjajua inasimama badala ya nini.
rh+ ni rhesus factor positive.
Haya mambo yanachanganya sana maana wengine wanasema PMTCT 1 ni negative na PMTCT 2 ni Positive sasa nani wa kumwamini?.....Ila kuna sehemu niliona kwenye kadi ya clinic wameandika PMTCT 1N (mtoto apewe dawa) sasa sikujua wana maana gani! Haya mambo yanachanganya sana wajameni!PMTCT 1 ni HIV positive na PMTCT 2 ni HIV negative
Hapo Head prefect ni lugha gongana...kila mtu anakuja na jibu lake maana hapo jamaa wa hospitali walijitahidi kutumia medical codes...naona walio wengi wanabahatisha tu! Sijajua wewe unatumia vigezo gani kusema hivyo ulivyosema!1 ni positive,2 ni negative
Hi GT!
my wife is pregnancy (5months) her clinic card shows she has blood group 0 and rh +ve
and PMCT1
Duuh! kweli huo ni ukweli mchungu! hapo sasa magonjwa ya zina kama kaswende yameandikwa wapi?mkeo ni mwathirika na ana magonjwa ya zinaa tena kaswende huo ni ukweli mchungu
Hivi hizo codes huwa hazibadilikibadiliki kutokana na muda? let say labda mwaka huu wanatumia hii then next year au after 4years wakatumia code nyingine?...Just thinking loud for the sake of all members!Hii ndio maana ya hizo code