Mtego wa Noti
JF-Expert Member
- Nov 27, 2010
- 2,591
- 1,616
Kuna baadhi ya vitu siyo siri tena ndio maana hata wizara ya afya wanaweka kwenye mtandao wao wa pmtct...just google utaona hayo makitu yote. Ni namna ya kusaidiana tu na kuwafanya watu wakapime.nimesikitishwa na watu watu wanaotoa hiz maada za code jaman kama kuna mtaalamu azingatie maadili ya taaluma yake hata hao google hawachambui yote.hiz taaluma zina siri jaman kuwen watii.na taaluma ya afya.wengine waishie kujua panadol tu sio yote.
Hivi kama mtu ameungua
kuna haja ya kuficha na kumwandikia kwenye kadi pekee bila kumwambia
ukweli ilihali anajua kuwa an tatizo? unakuta unaandikiwa hiyo 1 au 2
halafu unaambiwa huna tatizo hiyo imekaaje?
Yaah! tatizo wanaume wengi huwa hatuna kawaida ya kwenda clinic mke anpokuwa mjamzito hivyo wengi husubiri mke ataambiwaje huko. sasa wanawake wengine wakirudi wanakuwa kimya sasa inabaki ni kwa mwanaume kuhangaika kujua kaambiwaje mkewe!jamani hawamfichi waliempima lazima upewe majibu nandiomaana yakupima mjamzito ila wanajaza kitaalamu na huyo alipimwa ameshapewa majibu, very sad kaka ila ulikua unajielewa ndio maana hukuongozana namkeo clinic kikubwa huyo mtoto msimuambukize
Yaah! tatizo wanaume wengi huwa hatuna kawaida ya kwenda clinic mke anpokuwa mjamzito hivyo wengi husubiri mke ataambiwaje huko. sasa wanawake wengine wakirudi wanakuwa kimya sasa inabaki ni kwa mwanaume kuhangaika kujua kaambiwaje mkewe![/QUOTE
Mh hii kitu inachanganya sana. My sister aliandikiwa pmct 2. Nilipomwuliza means negative.
Mpe hongera zake maana duni ya siku hizi ni vurugu tupu! aendelee kujilinda aisee. hali ni mbaya na mbaya zaidi inapomfuata mpaka mtoto! Mungu atuhurumie tu jameni!Yaah! tatizo wanaume wengi huwa hatuna kawaida ya kwenda clinic mke anpokuwa mjamzito hivyo wengi husubiri mke ataambiwaje huko. sasa wanawake wengine wakirudi wanakuwa kimya sasa inabaki ni kwa mwanaume kuhangaika kujua kaambiwaje mkewe![/QUOTE
Mh hii kitu inachanganya sana. My sister aliandikiwa pmct 2. Nilipomwuliza means negative.
Kwaa maana hiyo, 2 ni negative...ova! sasa nina amani moyoni maana siku wangu akiandikiwa hivyo ntakuwa nshajua!Yaah! tatizo wanaume wengi huwa hatuna kawaida ya kwenda clinic mke anpokuwa mjamzito hivyo wengi husubiri mke ataambiwaje huko. sasa wanawake wengine wakirudi wanakuwa kimya sasa inabaki ni kwa mwanaume kuhangaika kujua kaambiwaje mkewe![/QUOTE
Mh hii kitu inachanganya sana. My sister aliandikiwa pmct 2. Nilipomwuliza means negative.
Du hivi masaburi maana yake ni nini hasa?, mimi nilidhani kuwa ni jina la mtu.Thanks pal
kuna watu hapa sijui wanatumia masaburi kufikiri, au ni watoto wanaodhani they know alot
it is really sad
I'd advice you to seek proper explanation from the Doctor who attended your wife otherwise you are exposing raw medical results without permission of your wife/Doctor which is personal and private matter frankly.No one in this forum is allowed to interpret flesh data coming out of the hospital in public even if he has knowledge of the matter, Its a crime according to medical ethics,you and the collaborator stand a big chance of being sued by the former or even the hospital administration that have been entrusted to take care of patients and the information they collect off them during the course of their duty.So be careful big boy!.
Hapo pekundu ulikuwa una maana gani?Wewe mpuuzi,umeadhirika halafu unataka kushare,medical issue ni private,mkeo alikuambia ulete majibu yake huku?wewe ni jitu la wapi hovyo hivi?unatoka pori gani?
hilo neno lina maana nyingi kuliko unavyojua wewe!Du hivi masaburi maana yake ni nini hasa?, mimi nilidhani kuwa ni jina la mtu.
Hata kule dodoma wametumia masuburi kupitisha rasimu yao ya katiba...tehe tehe..tehe...hilo neno lina maana nyingi kuliko unavyojua wewe!
Pole sana mkuuHi GT!
My wife is pregnancy (5months) her clinic card shows she has blood group 0 and rh +ve
and PMCT1
vise vesor!Usiogope PMTCT1 ni kwamba hana maambukizo lakin kama ingekuwa PMTCT2 hapo ndo inaonyesha kuna kitu cha pili yaani ameungua
kwako wewe inaonyesha tu hujiamin na ningekushauri ukapime mana si busara kufanya kama baadhi ya watu wanavyofanya eti mke akipima clinic negative basi na yy atakuwa negativ, si kweli kapime
Huwezi ukatatua tatizo kwa kulikimbia.Madaktari wanadhani ukisema PMTCT 1 in bonge la kificho!Ni sawa na mtu mzima kujificha kwenye shamba la Karanga,ukajidanganya huonekani.Haya,ukikuta mtu Yuko hivyo humwambii?shukrani wakuu, mods mnaweza mka'delete hii thread isije ikaleta madhara kwa wengine ambao walikuwa hawajui.