What is the meaning of PMTC1?

Mkuu nenda na mkeo mkapate ushauri wa pamoja pia itabidi na wew ucheck ur sero status ili uweze kujua afya yako. Mtashauriwa jinsi ya kuishi kama wana ndoa wala usiwaze sana jikubali tu
 
Mm ndo doctor xaxa natoa conclusion coz na utaalam na haya mambo, mama mjamzto ukienda hospital unapmwa ukikutwa na ukimwi unaambiwa kabxa wala hawakufch wanakupa na ushaur icpokuwa kweny card ya clinic hawandk direct kwamba HIV+ wanatumia hyo lugha ya PMTCT2 Kwajil tu ya kumfchia sir mama mjamzto watu wacjue endapo watashka card yake na pale clinik kweny folen mtu unaeza mpa card akushikie huwa wanatabia ya kuchungulia ili wajue umeathirika au lah! Ndomana wanandka Vle ili wacjuane nan kaathirika na nan hajaathirka coz watanzania tunapenda ubuyu hatuchelew kwenda kutangazana mitaan lakn mtu kweny nafsi yake anakuwa anajijua toka amepma anaambiwa wala hawamfch. Hili ndojbu hata msihangaike tena mm my Dad ni doctor
 

Bora umesema baba yako ndio daktari

Maana uandishi wako ni kichefuchefu hasa kwenye public forum kama hii
 
Hiyo ni full light nyekundu ila mtoa mada unanijijua sana sema ulitaka tuu kujihakikishia na kwa mkeo
 
kuuliza si ujinga bali ni kutataka kujua kumshauri nayeye akapime ni jambo zuri pia
 
Hii ndio maana ya hizo code

haya mambo unayapata ukienda na mwenza wako clinic,huyu kaka alikosea sana kuanzisha uzi huu humu japo imewafungua watu wengi ufahamu wa kuweza kusoma kadi za mama wajawazito
 
Ninavyojua mimi hauandikiwi tu kwenye card ya clinic, unapewa kwanza majibu na ushauri nasaha. Mpaka ikiandikwa hivyo muhusika kazima ujue. Afterall si jambo la kuhofia kama zamani ni kufuata ushauri tu

umeongea ukweli mtupu mkuu,baada ya vipimo mnagaiwa majibu yenu na kusomewa baada ya hapo taarifa zinajazwa kwenye kadi,.
 

hueleweki mara wewe ndio doctor mara ur dady ni doctor tuelewe lipi.
 
Nilileta hii mada kipindi hicho na kiukweli ili kupima upepo nipate majibu ya uhakika niliweka kuwa ni PMCT1 ila ilikuwa inasomeka PMCT2, kweli nilimkatalia mke wangu kwenda nae na yeye kwa jeuri alivyorudi baada yakupima akanidanganya kuwa kaathirika, [emoji13] , mtoto alizaliwa fresh Februaly 2012 binti yupo Pre unit sasa. Mimba ya pili mwaka jana Clinic waligoma kabisa kumpima wife bila mimi, walahi nilienda huku kiroho kikidunda balaa, kwa mara ya kwanza kupima, nesi alivyosema tu hongereni kwa uaminifu wenu kwenye ndoa aisee nilishusha pumzi, nilivyotoka pale nkamwambia wife umeona nilivyomwaminifu kwako?? Teh teh teh, kumbe mimi kimeo (sorry kwa kusema hili [emoji13] ), ila sikurudi kupima mara ya pili, alienda mwenyewe, Now baby boy ana miezi 10, ukipima ukikutwa huna inasaidia kupunguza umalaya sana, mimi nimepunguza sana mambo hayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

mkuu hii mada ilikupoteza sana jf mkuu,ila hongera sana
 
 
Acha kumdanganya PMTCT1 ni HIV+.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…