What is the purpose of mariage???.....

Ebanaeeeee!!!!

What is the meaning of the word mariage?

Subiria wataalam wa lugha utapata jibu!

so mmefikia conclusion gani tuingie kwenye ndoa ama tuendelee na ubachelah?

ndoa ni hifadhi ya jamii
inatoa malezi bora kwa watoto

...mmeandika yote. Mbarikiwe sana kwakweli....lol, eti kukoroma kama gari moshi,...unatunyanyapaa mkuu! hhee hhe!

...mmeandika yote. Mbarikiwe sana kwakweli....lol, eti kukoroma kama gari moshi,...unatunyanyapaa mkuu! hhee hhe!
Mkuu sijakusikia kutoa mawaidha yako kwa jamii hapa

Anakubaliana na alichosema M1!

Mhh haya mkuu nakupata na nimesoma hapo
Ila wewe msimamo wako kama mtoa mada ni upi au unasubiria ufanye conclussion

Mhh haya mkuu nakupata na nimesoma hapo

Ila wewe msimamo wako kama mtoa mada ni upi au unasubiria ufanye conclussion

Mimi mkuu,siko kwenye ndoa pia siko kwenye mahusiano na nina bad fillings kuhusu hii kitu,naamini kuna watu kama mimi wanahitaji mtazamo chanya kuhusu hii kitu.Nyinyi mlioko kwenye ndoa ndo mtushawishi na kutuambia uzuri wa ndoa!

Ili kuiona ndoa ni ya maana ondoa kwanza hizo bad feelings na uwe na mawazo kwamba ndoa ipo na ni nzuri then unawez akuingia humo. Jaribu kuondoa hicho kilichokuweka kwenye hizo bad feelings

Ili kuiona ndoa ni ya maana ondoa kwanza hizo bad feelings na uwe na mawazo kwamba ndoa ipo na ni nzuri then unawez akuingia humo. Jaribu kuondoa hicho kilichokuweka kwenye hizo bad feelings

Sumu haijaribiwi kwa kuilamba unless umehakikishiwa kuwa sio sumu!

Sumu haijaribiwi kwa kuilamba unless umehakikishiwa kuwa sio sumu!

I know and life aint going this way bro. Past mistakes and hatred has to go na maisha mapya ni lazima yaanze na kuendelea. We can not hide our head like ostrich na kusema kuwa mwili wote uko safe. We have to move on and move on to a new life and new world, we have to forget every past mistakes and hatred towards certain people and group of people.
Life has to move and in order to make it happen just forgive and forget and create your own principles of life where you will be able to survive

so mmefikia conclusion gani tuingie kwenye ndoa ama tuendelee na ubachelah?

bebii bana wanawake waitwa waseja,nahisi kuna kitu unatafuta anyway utapata na nataka nikuakikishie nnacho utakacho!

Rocky,faham mambo hayapo simple kiasi hicho!Japokuwa ulichosema kina ukweli ndani yake,ninapozungumza hivyo jua ninawakilisha pia mawazo ya watu,ni kuna watu hawajui wafanye nini lakini pia hata wale wataalam wa ushauri wanakiri kuwa kuna mambo hata wao hawawezi kuyafanya lakini wanawashauri waathirika!Kuna mambo mengine ni magumu sana kuyafanya,lakini ni mepesi sana kwa alie nje ya tukio,changamoto hutufanya tuwe wapya kwa maana ya kubadilika kutoka kutokujua mpaka kujua,ndo maana nikauliza swali nililouliza,ili nipate maana!

umefunguka kiukweli mjomba!!!!!!

Sababu yangu itakuwa ni kuwa na familia.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…