What is the purpose of mariage???.....

Nimeipenda hii, umekokotoa vizuri kabisa

Majibu yanakinzana,hakuna ambae amesema hasa purpose ya ndoa nini!Hata wenye ndoa wenyewe wanakosa majibu hii ni hatari sana!

so hamna purpose sio? sasa waliingia kwenye ndoa kwanini? au walitaka kuuza sura siku ya harusi?

Hiyo nafikiri ndo itakua sababu,ndo maana sina mpango wa hiyo kitu wala kujihusisha na mapenzi!Ni ujinga kufanya kitu bila purpose!

umeona eeh na ndo maana wazinzi wengi ni watu wenye ndoa yaani nadhani kwao ndoa ni cheti tu hawajui hata kwanini walioana

Yes!Pamoja na wanaoibiana hela,wanalogana na kufa ili mmoja abakie arithi mali,nyumba ndogo kila kona ya mtaa!Suala la kuoa au mapenzi kwangu ni gumu!

Wewe Mam wewe umeniogopesha hiyo " after marriage"

Yes!Pamoja na wanaoibiana hela,wanalogana na kufa ili mmoja abakie arithi mali,nyumba ndogo kila kona ya mtaa!Suala la kuoa au mapenzi kwangu ni gumu!
yaani wapo tu maana kama ni watoto unaeza kuzaa hata kama hujaoa wala kuolewa kusex unaeza pia kila kitu kiko available sasa iyo special case mbona hawatuambii wana ndoa wa jf au nao ni wazinzi walewale

Yes,kama unaweza kupata maziwa bila ya kufuga ng'ombe ya nini ufuge?Pia kama unakosa hoja ya kutetea jambo unalofanya huna sababu ya kuendelea kulifanya!

Pamoja na jibu zuri la m'one..ndoa ni mpango wa Mungu..Watakuwa mwili mmoja..hapa tunaona ukisisitizwa ushirika mtakatifu..yaani watamwabudu Mungu,watazaa watoto,watajenga uchumi wao na jamii pia..Mungu ni wa 'utaratibu' na ktk huo atatuhukumu..hivyo ndoa ni takatifu na iheshimiwe na watu wote..eiyer wewe ni mdadisi..ubarikiwe!

Be blessed too!

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…