Dit000
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 710
- 1,041
habari za usiku na swali naomba wanauchumi na forex trades munijibu.
Hivi, supply na demand , ni quantity of goods or services au ni number of people?
mfano, mama lishe akipika chakula say wali na maharage kilo 20, then wateja wakaja wakanunua nusu ya kile chakula na nusu kikabaki, ni dadafulie demand imetumika wapi na supply imetumika wapi, na chakula kilichobaki, tutakiitaje?
huwa nashangaa watu wanaofanya uchambuzi wa soko la fedha katika sarafu kwa kutumia mbinu ya supply na demand, huchukulia demand na suppply ni idadi ya watu.
ningependa tupate maelezo ya kitaalamu kutoka kwa wanauchumi na forex traders, ili tuweze kujifunza maana elemu haina mwisho.

asanteni