Blood in urea? Au urine? Kama ni urine kapime mkojo kwa maana ya urinalysis kama bilirubin zitakuwa juu hii yaweza kuwa ni malaria,
Kama bilirubin neg lakini una haematuria( blood in urine) yaweza kuwa schistosomiasis ( kichocho)
Kama vyote havina tatizo hapo juu yaweza kuwa renal trauma( ultra sound ata Ct scan) vyaweza husika.
Kama ni mwanamke basi ni hedhi.
Na yaweza kuwa urinary tract infection (UTI)
Bila shaka ume pata mwanga kwa mbali!