What is the space between one star with another?

Ramakism

Member
Joined
Feb 7, 2015
Posts
28
Reaction score
31
What is the space between one star with another in the sky ? But also these things confuse me, Sun is a star according to my understanding and my teachers, but moon is not a star?

If yes what is it? If no when and why? May be in jf there is no astronomers but answers are here here from you friend
Welcome.
 
Ramakism, You might want to read this to widen your knowledge about stars.

Ukweli kuhusu nyota angani

Cheers!
 
Mkuu unaweza kuielezea kidogo nyota ya sirius ktk constellation canis major
 
pia na utofauti wake na VY cania majoris maana inasemekana ndio inayongaa zaidi kwenye hiyo constellation
 
Angani kuna maajambu yake. Only speed of thought can travel the universe.
 
What is the space between one star with another in the sky ? But also these things confuse me, Sun is a star according to my understanding and my teachers, but moon is not a star?

If yes what is it? If no when and why? May be in jf there is no astronomers but answers are here here from you friend
Welcome.
..naomba nianze na swali la Pili,the sun is a star simply Because It has Ongoing nuclear fusion at its core Unlike the Moon ambayo haina Fusion Ya sampuli Yoyote kabsa and also the sun is Huge
 
Kuhusiana na hiyo space I guess unamaanisha Dark Matter

This is a short video utaielewa vyema.

Mwezi siyo star kwasababu mwanga wake unatokana na jua tofauti na jua au nyota.
Nimejaribu tu kwa uelewa wangu mdg.
 
sawa mkuu nitaipitia
mkuu hivi karibuni mpakasasa kuna 'nyota' huwa inang'aa sana na ni kubwa inakuaga mida ya saa 12jioni hadi mida ya saa 2 kasoro usiku kwenye upande ule jua linapozama..hii itakua ni nini sayari ya jupiter au nn?
Kuhusiana na hiyo space I guess unamaanisha Dark Matter

This is a short video utaielewa vyema.

mkuu hivi karibuni mpakasasa kuna 'nyota' huwa inang'aa sana na ni kubwa inakuaga mida ya saa 12jioni hadi mida ya saa 2 kasoro usiku kwenye upande ule jua linapozama..hii itakua ni nini sayari ya jupiter au nn?

Jupiter sio nyota mkuu. Ungekuwa na program kwenye computer inaitwa Globe ni nzuri sana inaonyesha map ya anga katika muda uliopo hivyo unaweza kulocate ni nyota au planet
 
Back
Top Bottom