What is the technical challenge of Subaru Forester XT

What is the technical challenge of Subaru Forester XT

Tunavyosubiria wakuje mafundi, tujikumbushe.

Subaru Forester ina generations sita hadi sasa tunavyoongea, ya kwanza ni mwaka 1997 na ya sita ni mwaka 2024.

Ninazoziona Bongo nyingi ni generation ya pili na ya tatu.

Generation ya pili ilianza 2002 hadi 2008 ikiwa na model code SG
1280px-2006_Subaru_Forester_XE_2.0.jpg
1280px-2005-2008_Subaru_Forester_XT_wagon_01.jpg


Huku generation ya tatu ikiwa 2009 hadi 2013, ikiwa na code SH.

2008_Subaru_Forester_(SH9_MY09)_XS_wagon_(2011-11-18)_01.jpg
2008_Subaru_Forester_(SH9_MY09)_XS_wagon_(2011-11-18)_02.jpg


Hii generation ya tatu ilikuja na trim level saba. Kama vile X, XS, XS Premium, 2.0 Diesel, 2.0 Premium Diesel, XT, XT Premium na S Edition.

Naona mtoa mada anataka XT
 
Wataalamu wanasema kama unapenda mbio chukua SG maana ndio ya moto ikiwa na turbo

Mimi nasema hivi

Tafuta BMW 520i ya 2010 tumia mwezi mmoja miezi inayofata uone networth yako inavoongezeka maradufu wakati unavojaribu kulimaintain mifumo yake ya umeme😂😁
 
Back
Top Bottom