Tunavyosubiria wakuje mafundi, tujikumbushe.
Subaru Forester ina generations sita hadi sasa tunavyoongea, ya kwanza ni mwaka 1997 na ya sita ni mwaka 2024.
Ninazoziona Bongo nyingi ni generation ya pili na ya tatu.
Generation ya pili ilianza 2002 hadi 2008 ikiwa na model code SG
Huku generation ya tatu ikiwa 2009 hadi 2013, ikiwa na code SH.
Hii generation ya tatu ilikuja na trim level saba. Kama vile X, XS, XS Premium, 2.0 Diesel, 2.0 Premium Diesel, XT, XT Premium na S Edition.
Naona mtoa mada anataka XT