what is the world's bast proffesion???

Architect E.M

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
1,222
Reaction score
1,425
nimekua nikijiuliza hili swali kwa muda mrefu sana, na pia niwewahi kuwauliza watu mbali mbali wanaonizunguka ninapoishi, wengine husema udaktari, wengine engineering, law, ualimu n.k...
Je wewe unaonaje?? Changia with a concrete reason.
 
Erotic Masseur.

Reason, utajaza mwenyewe, hiyo profession inajieleza vya kutosha bila further reasons.
 
Erotic Masseur.

Reason, utajaza mwenyewe, hiyo profession inajieleza vya kutosha bila further reasons.

That is harsh, brother!
Una ugomvi na mtoa mada?
Au ameku-bore kwa vile kaandika "bast"?
 
Erotic Masseur.

Reason, utajaza mwenyewe, hiyo profession inajieleza vya kutosha bila further reasons.

hili ni jukwaa la elimu ndugu yangu, wapo wanafunzi wengi wanaopitia humu na wanataka kujua kuhusu profession mbali mbali... Sasa nashindwa kuelewa unachojibu hivyo una maana gani... For example ni mwanao akapata kujua mzazi wake akiulizwa swali la best proffession aanajibu hivyo, kwahiyo ndoo na yeye achukue ushauri huo?? Think b4 u talk. U r a great thinker
 
That is harsh, brother!
Una ugomvi na mtoa mada?
Au ameku-bore kwa vile kaandika "bast"?

Hapana sina tatizo kabisa na mtowa mada. Kama imeonekana niko harsh nisamehewe ni lugha tu.
 

Kujifunza kwa mwanafunzi aneingia humu sidhani kama anahitaji basics, hapa kama ulivyosema, kuna ma "Thinkers", great, I doubt it, neither me nor them. So that was my answer na atakae sababu za why its a great job, atumie ka brain kake ku think.
 
Ni vigumu kujua kwa sababu zinatofautiana kati ya nchi. Profession moja inaweza kuwa best nchi moja, wakati nchi nyingine haina mpango. Kwa mfano Tanzania, inaonekama kama politics as the best, wakati haina deal huko China. Pia kuna umuhimu wa kutofautisha kati ya best profession and best profession to work in.

Also, one could say the best profession is the one you love going to every day. It really depends on your criteria of measurement. One person might say the best profession is the one that earns you the most money. Another could decide, what would you love doing every day despite the income.

The bottom like ni kurespect professions zote. The fact that one profession is the best, haina maana kuwa others are crap. What matters ni RESPECT. Muhimu pia kujua kuwa professions depends on each other. In many areas, one may not work without the other. My experience is that you will live and work happily thereafter if you respect others professionals hata kama ni mamantilie.
 

thanku soo much brother... Umechangia vizuri sana kiasi kwamba hakuna mtu ambaye atashindwa kuelewa,,, that shows how intelligent u r,,, tunahitaji watu kama ninyi humu jf na kwenye jamii zetu kwa ujumla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…