What is This In CHADEMA ? six months ? Tupeni jibu hapa


Kwanini Chadema wamemwalika Lipumba? kwa hiyo wakati wamemwalika wenyewe kwanini asiwaambie ukweli kuwa mnapindisha Democras..
Mbona Lipumba anazungumza sana kuhusu kupindishwa kwa Democras ktk ccm,mbona hata chadema wanazungumza kupindishwa kwa democras ktk ccm,au sisi hatuna haki ya kuhoji chadema inavoendeshwa kishaghlabaghla. wakiwa wataharibi Democras kila mtu ana haki ya kuwatolea macho,na sio itolewe macho kwa ccm tu. mkiambiwa inakuumeni lkn huo ndio ukweli.
 

Na alihudhuria kwa mbwembwe. Huko kuna sitting allowance mkuu.. Pesa mbele!!! Njaa!!!! Wanafiki tu kama Kakobe anayepigia debe vyama kwa kufuata upepo!!! Nakumbuka 1995 alivyokula sahani moja na Mrema akisema katika maono ndiye RAIS. Kwisha!!! Na Lipumba fuata upepo hivyo hivyo, hakuna kitu na uprofesa wake!!! Kama ana ubavu mbona bwiiii kila uchaguzi??? Kwishnei ni CUF tu kwa Tz Bara. Abaki Pemba tuu, aombe iwe nchi awe RAIS.
 
Katiba ya Chadema inasema nini katika kutangaza matokeo ya uchaguzi?

Inawezekana hicho kipengele hakipo kwenye katiba; walikisahau kwasababu hawakutegemea watakutana na hali kama iliyowakuta!!!
 
Hivi Mwiba unaitakia nini CHADEMA wewe?
Naitakia maendeleo yasiyo na utata ,chama kilicho na uwazi (ingawa kunakuwa na mambo ya ndani) lakini sio kinaingia katika migogoro kirahisi na kwa sababu nyepesi kabisa ,ona hili la miezi sita hapa hata asiekuwa na chama ataona pana udikteta japo haupo,yaani jambo ambalo lingeweza kufanyika ndani ya wiki mbili au tuseme mwezi ,tuchukulie miezi mitatu lakini miezi sita ,this is too mucha.

Ingawa sijui kwa misingi gani hata kufikia miezi sita ,yaani kuanzia sasa hadi kufikia miezi sita huenda pia usifanyike kwani wakati huo kutakuwa na hekaheka za uchaguzi mkuu ,mnataka kutuambia wakati watu wanajiandaa na uchaguzi mkuu wa TZ,nyinyi mtakuwa mnachaguana kwenye uchaguzi wenu wa ndani.Na kwa wakati huo mtakuwa na udhibiti gani ambao mlishindwa kuuchukua sasa kuzuia yaliotokea yasitokee wakati huo ?Hamuoni kama ni kutia maji kwenye pakacha.
 

Kumbuka tu Lipumba amesemea maana yeye hakupinga ila amesemea kwamba jamani mnavyofanya sivyo mnapindisha mambo mambo, aliepinga na hata kwenye habari kuu ametajwa kwa jina ni Naibu Katibu Mkuu wa Chadema ,yeye ndie aliepinga ,sasa isiwe mnalalia kwa Slaa tu kwani Naibu katibu wenu nae ana haki ya kulinda Chama ,ningefurahi kama WaChadema wangetoa msimamo wa Kwa nini Zitto alipinga msimamo wa Slaa.

Inawezekana waliochaguliwa sio chaguo la Slaa ,na na Zitto aliona haki inapindishwa kwa kuwa walioshinda walishinda kihalali ,plus or minus 20 votes ,sio tatizo kubwa sana la kuahirisha matokeo na kufanyika uchaguzi baada ya miezi sita .
 

Calipso,

Imeelezwa chaguzi zote Vijana/Wanawake hakuna aliyefikisha zaidi ya asilimia hamsini hivyo huwezi kutangazwa wewe mshindi. Hilo ndo JIBU.
 
Inawezekana hicho kipengele hakipo kwenye katiba; walikisahau kwasababu hawakutegemea watakutana na hali kama iliyowakuta!!!

Ninapata shida sana kuamini kama hicho kipengele hakipo.

Pili, ninadhani uchaguzi ndani ya Chadema umepigwa zengwe na kwa makusudi kabisa ili kudhoofisha team iliyokuwa inapingana na Mwenyekiti aliyeko madarakani. Ni wazi kabisa uamuzi wa Zitto wa kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa Chadema ilikuwa inaambatana na mabadiliko mengi ndani ya Chadema ikiwa ni panoja na ya viongozi wengine wa juu. Lakini inaonesha (kwa tathmini yangu) kuna baadhi ya wanaChadema bado hawako tayari kufanya na kupokea mabadiliko ya kweli yanayotokana na alama za nyakati. Aidha, hii ni ishara ya uwoga iliyojengeka ndani ya mawazo na fikra za wachache na kusahau kuwa kazi yao waliyoifanya inahitaji kuendelezwa na watu wengine katika fikra mpya.
Baadhi, hasa wale waoga katika kuleta mabadiliko wataidumaza Chadema kwa maslahi ya watu wachache au kundi dogo miongoni mwao.
Endapo kweli Chadema haina kipengele kinachojitosheleza katika kufanya maamuzi kama hayo ya kuahirisha uchaguzi kwa miezi 6, basi itaonekana ni njama za kuwasogeza mbali wale wote ambao walikuwa tayari kuleta changes ndani ya Chadema.
 
Calipso,

Imeelezwa chaguzi zote Vijana/Wanawake hakuna aliyefikisha zaidi ya asilimia hamsini hivyo huwezi kutangazwa wewe mshindi. Hilo ndo JIBU.

Duh! yaani hio ndo kwanza nikuskie wewe,yaani hao viongozi wa chadema waliozungumzia uchaguzi wanasema Kafulia kashinda kwa asilimia zaidi ya hamsini, na kama ni kweli maneno yako,kamanda Zitto naye hajui sheria hiyo? oooh! hiii ndo chadema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…