-je ni makocha wa kigeni?
-je ni kukosa pesa?
-je wachezaji wanafanya makusudi?
yaani mtu ukiangalia jinsi timu za afrika zinavyofanya world cup unasikia kichefuchefu, leo nigeria ndio wamenitoa moyo kabisa!!!
Tuna wachezaji wengi wanangara dunia nzima, lakini kwa nini tunashindwa tukicheza nchini kwetu?
Nauliza, what is wrong with us?
Tunachokiweza ni vita tu na ngono
Nafikiri hakuna team ya Afrika itatatwaa kombe la dunia milele!
Yani hata sababu sijui kila nikijiuliza..Naijeria leo imenikata stimu kbs kuhusu uwezekano wa hizi timu zetu kufika mbali WC..
Big word eeh...but who cursed them and why?It is a CURSE
labda uzalendo uanzie kwako mie nimeona humu uzalendo ni zero...watu wanamshangilia OBAMA kama ndio Rais wao...Na sikuzote Kikwete ni mjinga kwenu... sijaona mnamsifia Raisi wenu hapa... wananchi ndio wanajenga nchi acheni izo nyie....Na hili ndilo linalouma zaidi. Wachezaji wetu hawana uzalendo kabisa na sidhani kama uchungu wetu u nawagusa japo kidogo. Eehhh Mungu.....tusaidie
Makocha wa Kigeni nao wanachangia bana
kweli kabisa wale Ghana walivyokuwa wanarusha mpira kwa mbali utasema hakuna GoalKeaper instead of passing the ball....African teams are lacking team work.
labda uzalendo uanzie kwako mie nimeona humu uzalendo ni zero...watu wanamshangilia OBAMA kama ndio Rais wao...Na sikuzote Kikwete ni mjinga kwenu... sijaona mnamsifia Raisi wenu hapa... wananchi ndio wanajenga nchi acheni izo nyie....