Amoeba JF-Expert Member Joined Aug 20, 2009 Posts 3,288 Reaction score 791 Apr 30, 2011 #1 Toka jana naona page ya registration haifunguki kabisa!...system zenu zimezidiwa ama?..au ni kwangu tu? Kuna ndugu zangu wametoka mashambani kuja kujisajili, siku ya pili sasa!!!!!....huu utata.
Toka jana naona page ya registration haifunguki kabisa!...system zenu zimezidiwa ama?..au ni kwangu tu? Kuna ndugu zangu wametoka mashambani kuja kujisajili, siku ya pili sasa!!!!!....huu utata.