what is your best cocktail?

Betason

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2015
Posts
352
Reaction score
585
wakuu salaam

Mimi ni mpenzi wa vinywaji hivi viwili, maji na different cocktails

kwa muda sasa nimekua mraibu wa vinywaji hivi hasa siku kama ya leo weekend inapoanza bas ni lazima nitoke nikae mahali nipate glass moja au mbili za different cocktails

kuna aina nyingi za cocktails ila common ni;-

Gin cocktail:-are liquor cocktails made from barriers and spirit

vodka cocktails:-are also liquor cocktails made by mixing vodka with fruit juices


whiskey cocktails:- made with sophisticated flavor blends well with sweet as well as bitter mixers

kama umewahi ku'taste ladha tofauti na hizi karibu tupeane experience

cheers!!!
 
Naona vinywaji upendavyo ww ni vya kidhungu(kishua) tuu

Mimi kinywaji changu all the time ni kiroba tu, iwe value, konyagi au zed.
napenda hizi take away kwa maana zinabebeka na sehemu yoyote nnakunywa hata kama niko bungeni

Ndo cocktail zangu ninazotumia muda wowote nikijisikia
 
sawa mkuu, ila hata hizo take away unaweza kumix tu ukapata cocktail sio lazima uweke kwene glass

NB: cocktail ya viroba ni hatari kwa afya yako, hainyweki ukiwa una njaa
 
sawa mkuu, ila hata hizo take away unaweza kumix tu ukapata cocktail sio lazima uweke kwene glass

NB: cocktail ya viroba ni hatari kwa afya yako, hainyweki ukiwa una njaa
Embu Nipe utaratibu wa kuiandaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…