Habari wakuu,
Naombeni kusaidiwa hili jibu ikiwa mtu umeitwa kwenye interview alafu wewe umesomea electronics ila tangu umalize chuo umebahatika kufanya kazi dukani lets say duka la nguo halafu ikatokea umeitwa kwenye interview ya position uliosomea na kukutana na swali hili unaweza jibu vipi hapa Wakuu?
Msaada wenu tafadhali